Kupeleka ajira za ualimu Utumishi ni moja ya maamuzi ya ovyo yaliyowahi kufanywa na serikali

Kupeleka ajira za ualimu Utumishi ni moja ya maamuzi ya ovyo yaliyowahi kufanywa na serikali

Hahaha mlizoea utelezi?

Ila nahisi changamoto huu ni mwaka wa uchaguzi
 
Ndiyo mambo yanapokuwa hayaendi sawa kama mwalimu lazima usumbue ,, mwalimu ni kiongozi by nature hivyo wengine kama mnaona sawa wafanyacho utumishi basi when it comes to teacher,, it's big NO !! ,We won't tolerate this..
Hahaha
 
So ili nionekane sio mnufaika ilibidi nianze kumsympthasize? Sio kwa ajira za serikali tu bali zote ukiomba ajira subiri utaitwa ikitokea hujaitwa kuwa mpole. Pia mtoa ajira anaweza kughairi kuajiri. Nyie madogo nani aliwaambia muomba ajira anampangia mtoa ajira muda wa kuita usaili?
Unaweza kuwa wewe ni mpumbavu kuzidi wote humu
 
Huu mchakato sio walimu tu hata wenyewe (utumishi) wamechanganyikiwa ๐Ÿ˜€

Walimu 200k, wanataka 12,000 ikipigwa written, wachukue 36,000 mara wote waliochukua ni walimu wa kiswahili ๐Ÿ˜‚

Au labda waandae pepa, interview ya kila somo. Hapo huenda wakafanikiwa. Tuwape muda. Hawakujua.
 
Hv kwa nini bado siku hizi watu wanasoma ualimu wakati ajira za serikali hamna.

Watu hatukuwahi kuwaza kusoma ualimu japo tulipata division one lakini tukasoma ualimu kwa sababu enzi za Jk tulikua na uhakika wa mkopo pamoja na ajira... Sasa mtu unakuja kuhangaika na ualimu ajira zenyewe hakuna na career yenyewe inadharaulika...

Ningekuwa madogo wa siku hizi ningerudi zangu kijijini Tukuyu nilime zangu ndizi, siwezi kuhangaika na usenge wa akina mama Samia wanawapelekesha daily....
 
Hakuna kuleta unyongee ,, yani sababu huna kazi basi ndyo uwe unadanganywa danganywa ovyo ovyo tu ??

Yani huyu aseme natakuajiri wa saba yule wa kumi,,, mwingine aseme hapana wakumi na mbili ???
Wewe una wenge lakini bahati nzuri wenge lako linaishia hapa kwenye keyboard. Nje ya hapa una unyonge. Subiri interview siku watakayoamua, hili huwezi kulizuia
 
Of course yes !!, Na siyo kwamba nilikuwa siwajui hapana ila ni kwasabu maombi yetu yalikuwa hayapitiii kwao ,, hivyo hakukuwa na haja ya kuwafuatilia ,,, lakn sasa yameletwa huku na kwa kweli inashangaza jinsi watu hawa wanavyofanya kazi taratibu mpaka unajiuliza watu wanawezaje kuwavumilia ???

Tulia broo pambana na mchuzi nyama ziko chini.
 
Huu mchakato sio walimu tu hata wenyewe (utumishi) wamechanganyikiwa ๐Ÿ˜€

Walimu 200k, wanataka 12,000 ikipigwa written, wachukue 36,000 mara wote waliochukua ni walimu wa kiswahili ๐Ÿ˜‚

Au labda waandae pepa, interview ya kila somo. Hapo huenda wakafanikiwa. Tuwape muda. Hawakujua.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom