Kupeleka ajira za ualimu Utumishi ni moja ya maamuzi ya ovyo yaliyowahi kufanywa na serikali

Kupeleka ajira za ualimu Utumishi ni moja ya maamuzi ya ovyo yaliyowahi kufanywa na serikali

UTUMISHI Wako sahihi wanasubiri bajeti ikipita ndio waite watu interview sababu mishahara ya waajiriwa wapya huwepo kwenye bajeti mpya ikipita wanajua wa ki interview walioshinda wanaingia moja kwa moja kazini na mishahara yao ipo
Come one ,, try to be serious sometimes bwanaaa ,, yani kibali kitoke cha kuajiri walimu ,, tangazo liwe published na utumishi afu mwishoni watu waombee na vituo vya interview wa-comfirm afu mwishoni bajeti isiwepo kweli ???...
 
U
Naona 'interview' kwa Walimu imekuwa kaa la moto walizoea zamani kupangiwa kituo na W/TAMISEMI mambo yameisha.
Y
Kupeleka ajira za ualimu ni moja ya maamuzi ya ovyo ambayo serikali imewahi kuyafanya.

Sitoshaangaa hapo baadae mwanasiasa mwingine atakapokuja na kuamua kuzirudisha tena Tamisemi au akatumia udhaifu ulioneshwa na utumishi kuombea kura kwa wasaka ajira za ualimu.

Wakati ajira hizi zipo Tamisemi (kipindi cha magu japo yeye ndiyo aliyesababisha yote haya) kibali kilikuwa kikitoka mwezi wa nne watano mchakato wa uombaji unaanza wasaba watu wapo kazini.

Zilivyoenda utumishi, mwezi wa 4 kibali kilitoka cha kuajili walimu, lakini tangazo sasa la ajira likatoka wasita ,, kuomba watisa au wakumi, kuita watu kwenye interview hadi leo bado, je kwa halii bado kuna watu wanatamani ajira hizi zipitie utumishi?

Ushauri: Ajira zirudi tamisemi bila kupitia utumishi, Tamisemi waandae interview zao wenyeww kama zilivyofanyika ajira za bunge, huenda hili likasaidia.
Walimu mlizoea mseleleko tena wengine Kwa kuumizwa sasa hivi iyo fursa imekuwa Kwa walimu wote Bado hamtaki acheni fighters wapambanie izo Ajira nyie msubiri za kupangiwa bila interview,uliona wapi unaajiriwa bila interview huo si upendeleo
 
Duuh Ina maana mpaka sasa walimu hawajaitwa interview? Ila nawapongeza kwa kuwafanyisha watu interview mwenye uwezo apate sio kama Ile walivyokuwa wanabeti.
Walimu wengi ni vichwa panzi walikuwa wanaponda sana kada nyingine kufanya interview sasa na wao wameingia kwenye mfumo wameanza milio hawawajui vizuri utumishi watafanyishwa interview mwezi wa 11 au 12 kabisa😀😀yeye kaachiwa gap hajisomee anapiga miluzi mingo hawajui vizuri utumishi
 
T
Mpango wa wa gvt ni kupeleka ajira zote Utumishi fuatilia vizuri hata hao Tanesco wameshaingizwa utumishi, so TRA nao soon. Hapo zamani taasisi ziliajiri zenyewe kwa kupendeleana na rushwa. Kazi ya sekretariat ya ajira ni kuendesha mchakato wa ajira sio Tamisemi so tuliza ugoko bro mtaitwa tu.
TRA Alikuwa ana Ajiri kupitia Utumishi baada ya Magu kudead wakarudi wao kuajiri ila soon watarudisha mpira Kwa utumishi,ila Kuna taasisi kama Takukuru,TISS na polisi pamoja na jeshi wanaruhusiwa kuajiri wenyewe
 
U

Y

Walimu mlizoea mseleleko tena wengine Kwa kuumizwa sasa hivi iyo fursa imekuwa Kwa walimu wote Bado hamtaki acheni fighters wapambanie izo Ajira nyie msubiri za kupangiwa bila interview,uliona wapi unaajiriwa bila interview huo si upendeleo
My friend ,, umesoma na kuelewa hoja ilio mezani ,,, au umekurupuka tu na ku-comment ?? ..

Hebu tuwe na desturi ya kusoma kiini cha mada ndiyo tuchangie kama unatofauti zako binafsi na walimu siyo busara kuzionesha kila mahari unapojisikia tu
 
Walimu wengi ni vichwa panzi walikuwa wanaponda sana kada nyingine kufanya interview sasa na wao wameingia kwenye mfumo wameanza milio hawawajui vizuri utumishi watafanyishwa interview mwezi wa 11 au 12 kabisa😀😀yeye kaachiwa gap hajisomee anapiga miluzi mingo hawajui vizuri utumishi
Kwa hiyo unafurahia huu ucheleweshwaji wa wazi wazi unaofanywa na utumishi ???
 
TRA kwa tangazo la mwaka jana mwezi wa sita, mchakato uliendeshwa na bodi ya wahasibu na wakaguzi ( NBAA). Kwa maana nyingine, waliuza kazi ya kusimamia usahili kwa NBAA, badala ya utumishi.
Mtu makini lazima ujiulize why NBAA and not utumishi like it used to be before ?? Jibu ni huu ucheleweshaji wanaoufanya umepelekea T.R.A wawakimbie ..
 
M
Kwa hiyo unafurahia huu ucheleweshwaji wa wazi wazi unaofanywa na utumishi ???
Sifurahii ila mi nishawazoea ratiba zao miaka yote ndo inakuwaga ivyo mi pia Kuna kazi MDA& LGA nimeapply kipindi sawa na walimu ila nimekaa Kwa kutulia nasubiri,ushauri wangu kama uliomba izo nafasi jiandae vizuri mdogomdogo kabla hawajaita maana wakiita ni one week tu ya kujiandaa, aptitude test uwa sio mchezo
 
Ni sawa tu, wewe uliyeomba ndio unapaswa kuwa mviumilivu, sio yeye anayekupa ajira
Hakuna kuleta unyongee ,, yani sababu huna kazi basi ndyo uwe unadanganywa danganywa ovyo ovyo tu ??

Yani huyu aseme natakuajiri wa saba yule wa kumi,,, mwingine aseme hapana wakumi na mbili ???
 
Lakini kupata kazi kwa kufanyiwa usaili ni raha zaidi kuliko kupita moja kwa moja
Wala hamna anayebisha juu ya interview ,,, hoja hapa ni hizo interview kupewa utumishi ndiyo wazifanyishe halikuwa sahihi ,,, ilipaswa wenyewe tamisemi wakishirikiana labda na wizara ya elimu kuziendesha hizo interview na siyo kuwakabizi utumishi ambao wameshaonesha zaidi ya mara moja kuelemewa na mzigoo
 
M

Sifurahii ila mi nishawazoea ratiba zao miaka yote ndo inakuwaga ivyo mi pia Kuna kazi MDA& LGA nimeapply kipindi sawa na walimu ila nimekaa Kwa kutulia nasubiri,ushauri wangu kama uliomba izo nafasi jiandae vizuri mdogomdogo kabla hawajaita maana wakiita ni one week tu ya kujiandaa, aptitude test uwa sio mchezo
Kujiandaa juu ya kitu ambacho hujui kitatoka lini ni moja ya kazi ngumu mnoo ,, na hapa ndiyo panapelekea watu tuwachukie utumishi
 
let stick on the topic ,,, issue kulikuwa na ulazima gani kuzielekezea huko?

, sasa swali langu je Tamisemi wenyewe walishindwa kuandaa panel ambayo itakuwa responsible katika ku- run interview ya walimu ili kuondoa tatizo la ucheleweshwaji ambao limeshaonekana ni suguu pale utumushi?
Ulazima ni kwamba, Utumishi ndio msimamizi mkuu wa ajira zote za umma. Kitendo cha taasisi ama mamlaka nyingine kutafuta watumishi wao na kuitaarifu Utumishi ilionekana ni kama kukiuka taratibu na miongozo.

Hizo taasisi nyingine ambazo bado zinaajiri kwa kusimamia wenyewe mchakato ni lazima wafanye chini ya usimamizi wa Sekratarieti ya ajira, ndio maana lazima matangazonya ajira yafanywe na sekretarieti, uchambuzi na hata kuita watahiniwa kwenye usaili.
Baada ya hapo ndipo taasisi zinakabidhiwa watahiniwa kuendelea na mchakato chini ya usimamizi wa sekretarieti.
 
Walimu wangu mnapigwa danadana kama mpira wa soka daaah! Hivo hivo kazeni mtafika hata kama mmechoka
 
Ulazima ni kwamba, Utumishi ndio msimamizi mkuu wa ajira zote za umma. Kitendo cha taasisi ama mamlaka nyingine kutafuta watumishi wao na kuitaarifu Utumishi ilionekana ni kama kukiuka taratibu na miongozo.

Hizo taasisi nyingine ambazo bado zinaajiri kwa kusimamia wenyewe mchakato ni lazima wafanye chini ya usimamizi wa Sekratarieti ya ajira, ndio maana lazima matangazonya ajira yafanywe na sekretarieti, uchambuzi na hata kuita watahiniwa kwenye usaili.
Baada ya hapo ndipo taasisi zinakabidhiwa watahiniwa kuendelea na mchakato chini ya usimamizi wa sekretarieti.
Basi tuseme tamisemi waliwahi kuzikabidhi huko
 
Ndiyo mambo yanapokuwa hayaendi sawa kama mwalimu lazima usumbue ,, mwalimu ni kiongozi by nature hivyo wengine kama mnaona sawa wafanyacho utumishi basi when it comes to teacher,, it's big NO !! ,We won't tolerate this..
Mnavyojifanyq mko serious sasa utafikiri sio nyie mliomchangia mama hela ya kuchukua fomu
 
Back
Top Bottom