Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaNdiyo mambo yanapokuwa hayaendi sawa kama mwalimu lazima usumbue ,, mwalimu ni kiongozi by nature hivyo wengine kama mnaona sawa wafanyacho utumishi basi when it comes to teacher,, it's big NO !! ,We won't tolerate this..
Siku hizi umenisusa mnoWaalimu kwa kulalamika ๐
Siwez kukususa my, n majukumu tuuSiku hizi umenisusa mno
Mekumiss sana daddySiwez kukususa my, n majukumu tuu
Unaweza kuwa wewe ni mpumbavu kuzidi wote humuSo ili nionekane sio mnufaika ilibidi nianze kumsympthasize? Sio kwa ajira za serikali tu bali zote ukiomba ajira subiri utaitwa ikitokea hujaitwa kuwa mpole. Pia mtoa ajira anaweza kughairi kuajiri. Nyie madogo nani aliwaambia muomba ajira anampangia mtoa ajira muda wa kuita usaili?
WAMESHINDWA MKUU KUFANYA USAILI KWA WAKATIKwa nini tamisemi iandae ikiw Kuna idara iliundwa kufanya hiyo kazi? PSRS hiyo
Nmekumis Pia loveMekumiss sana daddy
Wewe una wenge lakini bahati nzuri wenge lako linaishia hapa kwenye keyboard. Nje ya hapa una unyonge. Subiri interview siku watakayoamua, hili huwezi kulizuiaHakuna kuleta unyongee ,, yani sababu huna kazi basi ndyo uwe unadanganywa danganywa ovyo ovyo tu ??
Yani huyu aseme natakuajiri wa saba yule wa kumi,,, mwingine aseme hapana wakumi na mbili ???
Wewe unajua ratiba zao Hadi useme hawajafanya kwa wakati?WAMESHINDWA MKUU KUFANYA USAILI KWA WAKATI
Of course yes !!, Na siyo kwamba nilikuwa siwajui hapana ila ni kwasabu maombi yetu yalikuwa hayapitiii kwao ,, hivyo hakukuwa na haja ya kuwafuatilia ,,, lakn sasa yameletwa huku na kwa kweli inashangaza jinsi watu hawa wanavyofanya kazi taratibu mpaka unajiuliza watu wanawezaje kuwavumilia ???
๐๐๐๐๐Huu mchakato sio walimu tu hata wenyewe (utumishi) wamechanganyikiwa ๐
Walimu 200k, wanataka 12,000 ikipigwa written, wachukue 36,000 mara wote waliochukua ni walimu wa kiswahili ๐
Au labda waandae pepa, interview ya kila somo. Hapo huenda wakafanikiwa. Tuwape muda. Hawakujua.
Walimu jiandae na usahili December๐๐๐๐๐
Waliomba kibali kutokana na udharula uliokuepo ndio maana walifanya wao wenyewe,TRA ni kazi yao kufanyisha watu interview ???