Kupenda kunaponza siku zote

Kupenda kunaponza siku zote

Na kumpata huwez mpaka unakufa😂😂
Tupo sana sema ni mpka upate nafasi ya kuishi nasi ku sura Ukituona tunafanana na wasiofaa.

Mkiambiwaga muwe mnaanza mapenzi kama urafiki mnakaza shingo..
Kuna faida ya mpenzi kuwa rafiki yako kwanza….woi
 
Af inaonekana una sura mbaya kinoma😂😂
 
inawezekana ikawa hivyo
Ujue mkuu, ukiwa na pesa hata kama unaishi maisha ya kawaida kiasi gani, kuna nuru huonekana usoni. Sembuse huyu mpenda show off? Angekuwa katakata zaidi ya marehemu Ginimbi. Ukiutazama uso wake unaona kabisa hafananii na kile anachoonesha.
 
hata maneno yake yanakinzana na uhalisia wake nadhani kuna jambo nyuma yake linaloficha ukweli
 
Hakika. Na hii kitu baada ya muda huwa ina kawaida ya ku-backfire kwa muhusika. Hasa pindi matumizi yake yanapokwisha na akapata shida ambayo inahitaji pesa nyingi
 
ndivyo inavyokuwa ila jamaa anapenda sifa sana hawezi kutoa msaada bila kujitangaza mtandaoni
 
Back
Top Bottom