KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Unaweza ukamuonesha hisia zako zote umpendae lakini yeye akashindwa kukupenda vile inavyotakikana!. Kupenda sio kosa lakini kupenda pasipo sahihi ni Kama kumeza kaa la moto!.. linakuunguza kulitema gumu. It's so hard kumuacha mtima wa moyo!.
Usijaribu kuingia kwenye mapenzi kichwakichwa unaweza ukasema nakula tu huyu then ukanasa! Huko ndo tunaita "kimeumana".. kuumana sio tatizo, tatizo ni hicho ulichoumana nacho!. Mapenzi sio sehemu ya majaribio ukionjeshwa vitamu jaribio linageuka kuwa uhalisia!.
Inahitaji kuwa na uhalisia linapoingia swala la mapenzi, hisia ni kitu cha hovyo sana Kama ukishindwa kuzihimili! Ulikuwa hunywi pombe utakunywa! Ulikuwa huongei peke yako utaongea! Kila uchizi unaweza simama na wewe!.
Ndugu jaribu kuwa mtu unaeweza ku limit hisia zako ongea na ndani yako uutulize mtima wako! Do not destroy your own psychology!.