Kupenda kupitiliza ni hatari ya kujitakia

Kupenda kupitiliza ni hatari ya kujitakia

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Unaweza ukamuonesha hisia zako zote umpendae lakini yeye akashindwa kukupenda vile inavyotakikana!. Kupenda sio kosa lakini kupenda pasipo sahihi ni Kama kumeza kaa la moto!.. linakuunguza kulitema gumu. It's so hard kumuacha mtima wa moyo!.

Usijaribu kuingia kwenye mapenzi kichwakichwa unaweza ukasema nakula tu huyu then ukanasa! Huko ndo tunaita "kimeumana".. kuumana sio tatizo, tatizo ni hicho ulichoumana nacho!. Mapenzi sio sehemu ya majaribio ukionjeshwa vitamu jaribio linageuka kuwa uhalisia!.

Inahitaji kuwa na uhalisia linapoingia swala la mapenzi, hisia ni kitu cha hovyo sana Kama ukishindwa kuzihimili! Ulikuwa hunywi pombe utakunywa! Ulikuwa huongei peke yako utaongea! Kila uchizi unaweza simama na wewe!.

Ndugu jaribu kuwa mtu unaeweza ku limit hisia zako ongea na ndani yako uutulize mtima wako! Do not destroy your own psychology!.
 
Thats true ukijafanya unapenda sana mwenzako akawa anakutolea macho tu ujue unaweza kufa kwa kihoro nakwambia jitahid sana upenda kwa mipaka au ujiandae kufa tu hakuna namna[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Unaweza ukamuonyesha hisia zako zote umpendae lakini yeye akashindwa kukupenda vile inavyotakikana!. Kupenda sio kosa lakini kupenda pasipo sahihi ni Kama kumeza kaa la moto!.. linakuunguza kulitema gumu. It's so hard kumuacha mtima wa moyo!.
Hebu tupatie na ka mfano kwa mtu anayetembea huku anaongea peke yake kisa Kawa chizi wa mapenzi. 😀😀
 
Back
Top Bottom