Kupenda sana Ngono kwanimaliza, Madokta nisaidieni

Kupenda sana Ngono kwanimaliza, Madokta nisaidieni

Habarini Madokta wazuri na washauri makini wa Jukwaa hili.
Jamani naomba mnisaidie jambo moja nyeti sana.
"Hamu ya Kupenda Sana Kufanya Ngono".

Hii kitu inanifanya nisiweze kudumu na mpenzi mmoja,kwani namkinai mapema.

Sasa nilikuwa nauliza.
1. Ni Ugonjwa au ni hamu zangu tu?

2. Kama ni Ugonjwa,dawa gani itanitibu na kama ni hamu zangu,nitumie nini ili uache kunisumbua?
Jamani niko Serious.
Naomba kama wewe unaijua tiba ya ugonjwa huu au kuna Daktari unamfahamu ambae ataweza nitibu, p'se nisaidie.
Maana ninakoelekea nitaota Sugu, mweee!!!!

Angalizo:
NITAIFUATA TIBA YAKO POPOTE PALE NCHINI TANZANIA

Huyo ni Rafiki yangu kanituma nimuombee Ushauri, maana yeye si member wa JF

Huenda ana Bipolar Disorder Mania, aende kwa watu wa mental health watamshauri vizuri
 
Rafiki yako ana pepo la ngono,akafunguliwe,wako wengi wasioweza kupitisha siku bila hiyo,baadae atabaka hata mwanae then#§€
 
Back
Top Bottom