Kupenda Sifa za Kijinga, Udhaifu wa Kukaba ndani ya Sita na Kujiamini kulikopitiliza kwa Beki Henock Inonga kumetugharimu zile Goli 2

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wala simlaumu Kipa Ali Salim kwa Kufungwa Goli zile Mbili ( hasa lile la Pili ) kama ambavyo Wengi wenu mnamlaumu ila GENTAMYCINE nalia na Beki wetu Henock Inonga ambaye zaidi ya mara Mbili hapa hapa JamiiForums nimeshamuanzishia Threads kuelezea Madhaifu yake na kwamba yasiporekebishwa ipo Siku atakuja Kutugharimu na kweli Jana Katugharimu.

Sina shaka na Uwezo wake mkubwa wa Mpira ( Kipaji alichonacho ) na ni Mchezaji aliyekamilika Maeneo mengi isipokuwa attitude yake na Pungufu moja la Kiufundi ndilo linalomgharimu na litaendelea Kumgharimu kama hatojirekebisha.

Beki Henock Inonga ana Sifa za Kijinga ambazo zinakera, anapenda mno Kucheza na Jukwaa na Ukabaji wake ( Marking yake ) hasa katika Sita ( 6 ) ni wa hovyo na wa Chini mno na kama Makocha hawatomrekebisha katika hili tutafungwa sana Magoli na kukimbilia Kuwalaumu Makipa wetu wakati kumbe wenye shida ni Mabeki wetu.

Kama ulitulia na kuangalia vyema yale Magoli ya Al Ahly FC jana utakubaliana nami GENTAMYCINE tena 100% kuwa yote yamefungwa mbele ya Beki Henock Inonga na kama angekuwa na Umakini ( Concetration ) ya hali ya Juu yale Magoli yasingefungwa.

Beki Henock Inonga ni Mdhaifu mno katika kufanya Anticipation kwa Mpira Wenyewe unakoelekea au kwa Mikimbio ya Washambuliaji na hii ni katika Sita ( 6 ) ya Goli la Simba SC.

Kwa mfano lile Goli la Kwanza la Al Ahly FC Beki Henock Inonga angelala Yombo ( angefanya Slide tackling ambayo anajmudu vyema ) Yule Mshambuliaji angefunga lile Goli?

Kwa Goli la Pili la Al Ahly FC hivi Beki Henock Inonga angekuwa na Anticipation Ability baada ya kuona Mchezaji wa Al Ahly FC aliyeko Winga ya Kushoto anataka kupiga Majalo ( Krosi ) au Kutoa Pasi ya mwisho angekaa nyuma ya Mfungaji wa Goli la Pili au angekaa mbele yake ili kufanya Blocking ( Zuio ) ili Mpira usimfikie Kiurahisi aliyefunga Goli na Kuutoa kabisa Mpira nje iwe Kona au Kipa adake na tusalimike?

Henock Inonga ajitathmini abadilike.
 
Ukitaka kujua utamu wa ngoma,ingia ndani ucheze,sio muda wote Mambo yanaenda vile unataka,sometime mapigo yanatokea bila kutarajia, unavoidable
 
Hatuna kipa, goli la pili kwa ujumla ni collective mistake kubwa toka faulo inapigwa tunakabia macho, positioning ya mabeki hawafanyi marking ya opponents, goli la kwanza ni loose possession upande wa kapombe, kapombe katuua, midfield hawajielewi kwenye defending, sliding kwa inonga yes ila woga wa penalty, goli la kwanza kipa kilaza sana haujulikani alitoka afanye nini in fact Ally sio kipa ni Bomu.

Uwajibikaji wa pamoja na wa kibinafsi wa kufundishwa hauonekani, with or without the ball, man marking, space marking, quick transition, playing with very specific intent towards final third ya opponents, tunacheza kimazoezi zaidi. Kibu Dennis ni Mtu 🙏🙏🙏, Saido ni Mtu, Malone ni Mtu, Kanoute ni Mtu, Baleke hapaswi kwanzia benchi, Moses phiri ana impact kwenye ball holding na quick transition kuliko Bocco.

Kocha simtaki hana on going game reading na analysis skills,

Kocha first eleven kapanga kama yuko ugenini. Nina mashaka kama alipanga first 11 Kwa uhuru.

Draw sio haba ngedere wa Yanga walivaa sana jezi zao, siku hazigandi sio milima tarehe zinakuja watajua sisi pia ni raia pacha wa Misri na Tanzania
 
Wewe hujui mpira unajua Kushabikia Simba Ila mpira Hujui.

Goli la kwanza la Simba ni Counter attack ( kujibu shambulizi kwa Kasi)

1. MAGOLi yote ni uzembe WA KIPA.
Simba Haina KIPA.
ALIYEMSAJILI AYOUB NI TAHIRA NA HANA AKILI KABISA KAMA WEWE.

2. Inonga Ametoka majeruhi na AMEUMIA mara 3 ndani ya Muda Mfupi.
MGUU, mkono, MGUU Tena.
Fitness level yake (utimamamu WA mwili) Lazima iwe chini.

3. Simba Haina kiungo No 6 mkabaji Baada ya kwenda Kusajili Kiungo Mkabaji wakaenda kumleta Miquisson.
Safu ya Ulinzi inafikika Kirahisi sana na Itafungwa MAGOLi kila siku.

4. JARIBU KUJIFUNZA MPIRA SIO KUWA SHABIKI MAKERERE

SHENZIIIIII
 
Mwendawazimu na Juha mkubwa kama Wewe una Uwezo wa kufanya thorough Analysis ya Mechi? Hebu nitokee hapa Kafue Shuka ulizochafua na Mumeo usiku wa Kuamkia leo sawa?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Uwajibikaji wa pamoja na wa kibinafsi wa kufundishwa hauonekani, with or without the ball, man marking, space marking, quick transition, playing with very specific intent towards final third ya opponents, tunacheza kimazoezi zaidi. Kibu Dennis ni Mtu [emoji120][emoji120][emoji120], Saido ni Mtu, Malone ni Mtu, Kanoute ni Mtu, Baleke hapaswi kwanzia benchi, Moses phiri ana impact kwenye ball holding na quick transition kuliko Bocco.

Umetisha kila beti mkuu. Hiyo ya mwisho [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwendawazimu na Juha mkubwa kama Wewe una Uwezo wa kufanya thorough Analysis ya Mechi? Hebu nitokee hapa Kafue Shuka ulizochafua na Mumeo usiku wa Kuamkia leo sawa?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!

Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.

Mithali 26:4
 
Hatuna kipa, goli la pili kwa ujumla ni collective mistake kubwa toka faulo inapigwa tunakabia macho, positioning ya mabeki hawafanyi marking ya opponents, goli la kwanza ni loose possession upande wa kapombe, kapombe katuua, midfield hawajielewi kwenye defending, sliding kwa inonga yes ila woga wa penalty, goli la kwanza kipa kilaza sana haujulikani alitoka afanye nini in fact Ally sio kipa ni Bomu.

Uwajibikaji wa pamoja na wa kibinafsi wa kufundishwa hauonekani, with or without the ball, man marking, space marking, quick transition, playing with very specific intent towards final third ya opponents, tunacheza kimazoezi zaidi. Kibu Dennis ni Mtu 🙏🙏🙏, Saido ni Mtu, Malone ni Mtu, Kanoute ni Mtu, Baleke hapaswi kwanzia benchi, Moses phiri ana impact kwenye ball holding na quick transition kuliko Bocco.

Kocha simtaki hana on going game reading na analysis skills,

Kocha first eleven kapanga kama yuko ugenini. Nina mashaka kama alipanga first 11 Kwa uhuru.

Draw sio haba ngedere wa Yanga walivaa sana jezi zao, siku hazigandi sio milima tarehe zinakuja watajua sisi pia ni raia pacha wa Misri na Tanzania

NAJIBU KUHUSU KAPOMBE TU KIUFUNDI.

1. Level ya Wachezaji wa Alhaly IPO juu sana kulinganisha na Simba.
Uimara WA Alhaly ni Maeneo ya Pembeni, ndio wako Bora zaidi.

2. Eneo analocheza beki wa kulia mtu wa kwanza kutoa msaada Huwa anakuwa No 7 ambaye mara Nyingi anakuwa KIBU. Jana KIBU alichezeahwa No 9 na
(Jana no 7 Alikuwa Miquisson aliyeisha na kuchoka vibaya kabisa.

3. Msaada Mwingine WA Kumsaidia No 2 ni Beki No 5 ambaye ni Inonga ambaye Majeraha Yameshusha sana Uwezo wake.
Amepata Majeraha mara tatu ndani ya KIPINDI Cha Muda Mfupi

4. Yote ya yote Simba wanaathirika sana kutokana na kukosa kiungo WA Asili kabisa WA UKABAJI.
Hili nimelisema zaidi ya mala 1000 sasa.

Karibu kwa swali
 
Wala simlaumu Kipa Ali Salim kwa Kufungwa Goli zile Mbili ( hasa lile la Pili ) kama ambavyo Wengi wenu mnamlaumu ila GENTAMYCINE nalia na Beki wetu Henock Inonga ambaye zaidi ya mara Mbili hapa hapa JamiiForums nimeshamuanzishia Threads kuelezea Madhaifu yake na kwamba yasiporekebishwa ipo Siku atakuja Kutugharimu na kweli Jana Katugharimu.

Sina shaka na Uwezo wake mkubwa wa Mpira ( Kipaji alichonacho ) na ni Mchezaji aliyekamilika Maeneo mengi isipokuwa attitude yake na Pungufu moja la Kiufundi ndilo linalomgharimu na litaendelea Kumgharimu kama hatojirekebisha.

Beki Henock Inonga ana Sifa za Kijinga ambazo zinakera, anapenda mno Kucheza na Jukwaa na Ukabaji wake ( Marking yake ) hasa katika Sita ( 6 ) ni wa hovyo na wa Chini mno na kama Makocha hawatomrekebisha katika hili tutafungwa sana Magoli na kukimbilia Kuwalaumu Makipa wetu wakati kumbe wenye shida ni Mabeki wetu.

Kama ulitulia na kuangalia vyema yale Magoli ya Al Ahly FC jana utakubaliana nami GENTAMYCINE tena 100% kuwa yote yamefungwa mbele ya Beki Henock Inonga na kama angekuwa na Umakini ( Concetration ) ya hali ya Juu yale Magoli yasingefungwa.

Beki Henock Inonga ni Mdhaifu mno katika kufanya Anticipation kwa Mpira Wenyewe unakoelekea au kwa Mikimbio ya Washambuliaji na hii ni katika Sita ( 6 ) ya Goli la Simba SC.

Kwa mfano lile Goli la Kwanza la Al Ahly FC Beki Henock Inonga angelala Yombo ( angefanya Slide tackling ambayo anajmudu vyema ) Yule Mshambuliaji angefunga lile Goli?

Kwa Goli la Pili la Al Ahly FC hivi Beki Henock Inonga angekuwa na Anticipation Ability baada ya kuona Mchezaji wa Al Ahly FC aliyeko Winga ya Kushoto anataka kupiga Majalo ( Krosi ) au Kutoa Pasi ya mwisho angekaa nyuma ya Mfungaji wa Goli la Pili au angekaa mbele yake ili kufanya Blocking ( Zuio ) ili Mpira usimfikie Kiurahisi aliyefunga Goli na Kuutoa kabisa Mpira nje iwe Kona au Kipa adake na tusalimike?

Henock Inonga ajitathmini abadilike.
anacheza na jukwaa
 
Ukiacha shida zote Simba haina namba 6 wa kukaba na kutoka na mipira, Haiwezekani Ngoma ambaye ni nanba 6 anakaba kwa macho hataki kugongana.
Kama unaogopa ku gongana utawezaje kutoka na mpira kwenye (transition) ya timu?
Angepata nusu ya uwezo wa Mudathir Simba ingekua mbali apo Sija mzungumzia mkuu wa kitengo cha kufua na kukata umeme(power house) Dr Khalid Aucho.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.

Mithali 26:4
Kutwa unahubiri Kunichukia na Kutonipenda GENTAMYCINE hapa JamiiForums ila nashangaa huwa unakuwa so Active katika Kufuatilia Mada ( Threads ) zangu mbalimbali hapa je, Wenye Akili Kubwa Kukuzidi Wakueleweje?

Nilidhani usingekuwa unapoteza muda wako Kunisoma na badala yake ungekuwa Unawasoma hao uwaonao ni Bora Kwako na Mimi GENTAMYCINE ukaniacha na wengi Wanaonielewa, Wanaoniheshimu na Wanaonikubali sawa?

Asante Mwenyezi Mungu kwa kunipa GENTAMYCINE Shani / Tunu za Kipekee za kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" ambazo zinawafanya Maadui zangu Wanichukie Machoni na Vidoleni mwao wakiwa wana type hapa JamiiForums ila Mioyoni mwao na Rohoni kwao Wananikubali hakuna mfano.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
NAJIBU KUHUSU KAPOMBE TU KIUFUNDI.

1. Level ya Wachezaji wa Alhaly IPO juu sana kulinganisha na Simba.
Uimara WA Alhaly ni Maeneo ya Pembeni, ndio wako Bora zaidi.

2. Eneo analocheza beki wa kulia mtu wa kwanza kutoa msaada Huwa anakuwa No 7 ambaye mara Nyingi anakuwa KIBU. Jana KIBU alichezeahwa No 9 na
(Jana no 7 Alikuwa Miquisson aliyeisha na kuchoka vibaya kabisa.

3. Msaada Mwingine WA Kumsaidia No 2 ni Beki No 5 ambaye ni Inonga ambaye Majeraha Yameshusha sana Uwezo wake.
Amepata Majeraha mara tatu ndani ya KIPINDI Cha Muda Mfupi

4. Yote ya yote Simba wanaathirika sana kutokana na kukosa kiungo WA Asili kabisa WA UKABAJI.
Hili nimelisema zaidi ya mala 1000 sasa.

Karibu kwa swali
Kutwa unahubiri Kunichukia na Kutonipenda GENTAMYCINE hapa JamiiForums ila nashangaa huwa unakuwa so Active katika Kufuatilia Mada ( Threads ) zangu mbalimbali hapa je, Wenye Akili Kubwa Kukuzidi Wakueleweje?

Nilidhani usingekuwa unapoteza muda wako Kunisoma na badala yake ungekuwa Unawasoma hao uwaonao ni Bora Kwako na Mimi GENTAMYCINE ukaniacha na wengi Wanaonielewa, Wanaoniheshimu na Wanaonikubali sawa?

Asante Mwenyezi Mungu kwa kunipa GENTAMYCINE Shani / Tunu za Kipekee za kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" ambazo zinawafanya Maadui zangu Wanichukie Machoni na Vidoleni mwao wakiwa wana type hapa JamiiForums ila Mioyoni mwao na Rohoni kwao Wananikubali hakuna mfano.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Kutwa unahubiri Kunichukia na Kutonipenda GENTAMYCINE hapa JamiiForums ila nashangaa huwa unakuwa so Active katika Kufuatilia Mada ( Threads ) zangu mbalimbali hapa je, Wenye Akili Kubwa Kukuzidi Wakueleweje?

Nilidhani usingekuwa unapoteza muda wako Kunisoma na badala yake ungekuwa Unawasoma hao uwaonao ni Bora Kwako na Mimi GENTAMYCINE ukaniacha na wengi Wanaonielewa, Wanaoniheshimu na Wanaonikubali sawa?

Asante Mwenyezi Mungu kwa kunipa GENTAMYCINE Shani / Tunu za Kipekee za kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" ambazo zinawafanya Maadui zangu Wanichukie Machoni na Vidoleni mwao wakiwa wana type hapa JamiiForums ila Mioyoni mwao na Rohoni kwao Wananikubali hakuna mfano.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!

ANAANDIKA TUKANA UONE
Ikiwa hutaki tuchangie nenda kaandike sebuleni kwenu ili ndugu zako wakenue meno na kufurahia ujuha wako,lakini kwa hapa jukwaani tu utaula wa chuya!.

Hapa tutakukaanga,tutakupakua na utaliwa utake usitake

"TUKANA UONE"
 
Kutwa unahubiri Kunichukia na Kutonipenda GENTAMYCINE hapa JamiiForums ila nashangaa huwa unakuwa so Active katika Kufuatilia Mada ( Threads ) zangu mbalimbali hapa je, Wenye Akili Kubwa Kukuzidi Wakueleweje?

Nilidhani usingekuwa unapoteza muda wako Kunisoma na badala yake ungekuwa Unawasoma hao uwaonao ni Bora Kwako na Mimi GENTAMYCINE ukaniacha na wengi Wanaonielewa, Wanaoniheshimu na Wanaonikubali sawa?

Asante Mwenyezi Mungu kwa kunipa GENTAMYCINE Shani / Tunu za Kipekee za kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" ambazo zinawafanya Maadui zangu Wanichukie Machoni na Vidoleni mwao wakiwa wana type hapa JamiiForums ila Mioyoni mwao na Rohoni kwao Wananikubali hakuna mfano.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Acha Majungu,Ushambenga na Ushangingi!
 
Hatuna kipa, goli la pili kwa ujumla ni collective mistake kubwa toka faulo inapigwa tunakabia macho, positioning ya mabeki hawafanyi marking ya opponents, goli la kwanza ni loose possession upande wa kapombe, kapombe katuua, midfield hawajielewi kwenye defending, sliding kwa inonga yes ila woga wa penalty, goli la kwanza kipa kilaza sana haujulikani alitoka afanye nini in fact Ally sio kipa ni Bomu.

Uwajibikaji wa pamoja na wa kibinafsi wa kufundishwa hauonekani, with or without the ball, man marking, space marking, quick transition, playing with very specific intent towards final third ya opponents, tunacheza kimazoezi zaidi. Kibu Dennis ni Mtu [emoji120][emoji120][emoji120], Saido ni Mtu, Malone ni Mtu, Kanoute ni Mtu, Baleke hapaswi kwanzia benchi, Moses phiri ana impact kwenye ball holding na quick transition kuliko Bocco.

Kocha simtaki hana on going game reading na analysis skills,

Kocha first eleven kapanga kama yuko ugenini. Nina mashaka kama alipanga first 11 Kwa uhuru.

Draw sio haba ngedere wa Yanga walivaa sana jezi zao, siku hazigandi sio milima tarehe zinakuja watajua sisi pia ni raia pacha wa Misri na Tanzania
Simba inanishangaza sana ina makipa watano lakini hakuna hta mmoja inayomuamini zaidi ya manula kazi kweli kweli
 
Wewe hujui mpira unajua Kushabikia Simba Ila mpira Hujui.

Goli la kwanza la Simba ni Counter attack ( kujibu shambulizi kwa Kasi)

1. MAGOLi yote ni uzembe WA KIPA.
Simba Haina KIPA.
ALIYEMSAJILI AYOUB NI TAHIRA NA HANA AKILI KABISA KAMA WEWE.

2. Inonga Ametoka majeruhi na AMEUMIA mara 3 ndani ya Muda Mfupi.
MGUU, mkono, MGUU Tena.
Fitness level yake (utimamamu WA mwili) Lazima iwe chini.

3. Simba Haina kiungo No 6 mkabaji Baada ya kwenda Kusajili Kiungo Mkabaji wakaenda kumleta Miquisson.
Safu ya Ulinzi inafikika Kirahisi sana na Itafungwa MAGOLi kila siku.

4. JARIBU KUJIFUNZA MPIRA SIO KUWA SHABIKI MAKERERE

SHENZIIIIII
Kweli kabisa first half alikosekana kiungo wa kupiga pass za mbele kama ambavyo alikuwa anafanya kanoute alipoingia second half alikuwa anapiga penetration pass tu za kwenda mbele sio kiungo unapiga back pass.
 
Wewe hujui mpira unajua Kushabikia Simba Ila mpira Hujui.

Goli la kwanza la Simba ni Counter attack ( kujibu shambulizi kwa Kasi)

1. MAGOLi yote ni uzembe WA KIPA.
Simba Haina KIPA.
ALIYEMSAJILI AYOUB NI TAHIRA NA HANA AKILI KABISA KAMA WEWE.

2. Inonga Ametoka majeruhi na AMEUMIA mara 3 ndani ya Muda Mfupi.
MGUU, mkono, MGUU Tena.
Fitness level yake (utimamamu WA mwili) Lazima iwe chini.

3. Simba Haina kiungo No 6 mkabaji Baada ya kwenda Kusajili Kiungo Mkabaji wakaenda kumleta Miquisson.
Safu ya Ulinzi inafikika Kirahisi sana na Itafungwa MAGOLi kila siku.

4. JARIBU KUJIFUNZA MPIRA SIO KUWA SHABIKI MAKERERE

SHENZIIIIII
Mapopoma wanazinguana wenyewe,kweli simba ni timba
 
Back
Top Bottom