Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Wadau hivi inawezekana mtu akashabikia timu 2 ligi moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo sana tu. Kupenda timu fulani mtu anakuwa na sababu zake. Nina rafiki mmoja yeye alikuwa anaipenda 5imba (kisa utani wa jadi na Yanga) na Ndanda FC (ya nyumbani kwao). Siku moja zilikuwa zinacheza pale Nangwanda Sijaona Mtwara. Alifika na jezi zote mbili hadi geti, lakini mwisho hakuingia uwanjani.Wadau hivi inawezekana mtu akashabikia timu 2 ligi moja mfano pale uingereza uwe unashabikia Liverpool mda huo huo unashabikia arsenal hivi hii kitu inawezekana kweli
Kwa Hilo sawa sababu kibongobongo tuna timu zetu za nyumbani je mtu wa bongo upende timIpo sana tu. Kupenda timu fulani mtu anakuwa na sababu zake. Nina rafiki mmoja yeye alikuwa anaipenda 5imba (kisa utani wa jadi na Yanga) na Ndanda FC (ya nyumbani kwao. Siku moja zilikuwa zinacheza pale Nangwanda Sijaona Mtwara. Alifika na jezi zote mbili hadi geti, lakini mwisho hakuingia uwanjani.
Duh nomaIpo sana tu. Kupenda timu fulani mtu anakuwa na sababu zake. Nina rafiki mmoja yeye alikuwa anaipenda 5imba (kisa utani wa jadi na Yanga) na Ndanda FC (ya nyumbani kwao. Siku moja zilikuwa zinacheza pale Nangwanda Sijaona Mtwara. Alifika na jezi zote mbili hadi geti, lakini mwisho hakuingia uwanjani.
Duh na jezi zote unazoInawezekana! Mimi napenda Man City na muda huohuo Chelsea
Kwahiyo zikicheza zote inakuaje aiseeSina
Sawa sawainawezekana kama uliipenda timu A kwajili ya mchezaji then akaamia timu B, kama mashabiki wa ronaldo na messi wanaaenda nao kokote watakapo hamia, ila kama ni mfatiliaji mzuri wa mpira na kila mechi unaangalia, huwezi kushabikia timu mbili kubwa kwenye ligi moja, lazima kuna moja, labda kinachotokea ni ushabiki kwenye mechi moja moja, labda Man u vs Liverpool utakuta shabiki wa Arseno ataishangilia liver
Duuh na jezi zote unavaaMe Newcastle na man u
Yanga na singida na namungo
Kwahiyo unazipenda zote mbiliNewcastle niliipenda wakati nakuwa..huku ukubwani nikaja kuipendq Chelsea.
1. Arsenal the GunnersIpo sana tu. Kupenda timu fulani mtu anakuwa na sababu zake. Nina rafiki mmoja yeye alikuwa anaipenda 5imba (kisa utani wa jadi na Yanga) na Ndanda FC (ya nyumbani kwao). Siku moja zilikuwa zinacheza pale Nangwanda Sijaona Mtwara. Alifika na jezi zote mbili hadi geti, lakini mwisho hakuingia uwanjani.
Pamoja sana1. Arsenal the Gunners
2. Man City because of Pep Guardiola
Sawa ila matusi punguza mzeeBinafsi naipenda timu moja tu kwakila ligi. Kupenda timu mbili au zaidi kwa ligi moja ni sawa na umalaya (Kutokujiamini)
Sidhani kama neno malaya ni tusi. Hujawahi sikia funguo malaya?Sawa ila matusi punguza mzee
Sipo hapa kubishana mzee tuishie hapa sisi wote watu wazima tunajua ulichomaanishaSidhani kama neno malaya ni tusi. Hujawahi sikia funguo malaya?
Siku city na chelsea wakicheza unakuwa wapi??Inawezekana! Mimi napenda Man City na muda huohuo Chelsea