Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #41
SawaHuwezi kua mshabiki wa timu mbili kwenye ligi moja labda uwe sio mtu wa mpira, ushabiki kwenye ligi ni wa timu moja tu ila unaweza kuvutiwa na timu mojawapo nyingine kwa sababu tofautitofauti lakini huwi mshabiki. Ushabiki ni pale timu husika inakupa maumivu au furaha kwa matokeo yake kutoka moyoni kabisa