Kupenda Wanawake Wenye Makalio Makubwa Kunasababishwa na Njaa

Abtali Mwerevu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
796
Reaction score
707
Inasemekana njaa huchochea wanaume wapende wanawake wenye makalio makubwa. Kwa mujibu wa wataalamu, mtu mwenye njaa ama aliyekulia katika mazingira ya uhaba wa chakula, anapoona mtu 'kanona' hupata faraja na kuona ile ni dalili ya uwepo wa chakula dalili ya mafanikio. Maana yake ni kwamba, watu walioishi katika mazingira ya uhaba wa chakula, hupenda kuona watu wenye nyama kwa kuamini mahali pale pana chakula.


View: https://youtu.be/88FhTtWNlRw?si=amnAOLkrwvyGYtLF
 
Rubbish
 
Weeeeee!!!!
 
Ni kweli kabisa huwezi kuona Tajiri ana mke mnene au Tako kubwa.
Matajiri ninao jua mimi wake zao ni vimbao mbao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…