Kupenda Wanawake Wenye Makalio Makubwa Kunasababishwa na Njaa

Kupenda Wanawake Wenye Makalio Makubwa Kunasababishwa na Njaa

Hujui kuyatumia
1755862062342.jpg
 
Inasemekana njaa huchochea wanaume wapende wanawake wenye makalio makubwa. Kwa mujibu wa wataalamu, mtu mwenye njaa ama aliyekulia katika mazingira ya uhaba wa chakula, anapoona mtu 'kanona' hupata faraja na kuona ile ni dalili ya uwepo wa chakula dalili ya mafanikio. Maana yake ni kwamba, watu walioishi katika mazingira ya uhaba wa chakula, hupenda kuona watu wenye nyama kwa kuamini mahali pale pana chakula.


View: https://youtu.be/88FhTtWNlRw?si=amnAOLkrwvyGYtLF

Makalio makubwa hakuna asiyependa kuyaona na hata kuwa nao
 
Back
Top Bottom