Kupendwa raha sana

Kupendwa raha sana

Nipo zangu nyumbani napangilia mambo yangu ya kila siku, mara ghafla naona simu inaita; kuitazama, ni namba ya mama kijacho (mchepuko).

Baada ya kupokea, mazungumzo yakawa hivi:-

Mimi: halo
Yeye: mambo vipi bebii
Mimi: Niko powa, mambo yakoje huko?
Yeye: Huku mabaya, sijisikii vizuri, nataka tutoke wote
Mimi:Twende wapi?
Yeye: Popote tu utakapotaka
Mimi: Sawa, saa 3 usiku nitakucheki
Yeye: asante mme wangu nakupenda sana
Mimi: Powa,baadaye

Hapa nilipo najiandaa kwa mtoko; msiopendwa, endeleeni kuchezea keyboard.​
Kupendwa raha sana pale mnapopendana kwa dhati pasipo unafiki na usaliti
 
Mpelekee moto
Nipo zangu nyumbani napangilia mambo yangu ya kila siku, mara ghafla naona simu inaita; kuitazama, ni namba ya mama kijacho (mchepuko).

Baada ya kupokea, mazungumzo yakawa hivi:-

Mimi: halo
Yeye: mambo vipi bebii
Mimi: Niko powa, mambo yakoje huko?
Yeye: Huku mabaya, sijisikii vizuri, nataka tutoke wote
Mimi:Twende wapi?
Yeye: Popote tu utakapotaka
Mimi: Sawa, saa 3 usiku nitakucheki
Yeye: asante mme wangu nakupenda sana
Mimi: Powa,baadaye

Hapa nilipo najiandaa kwa mtoko; msiopendwa, endeleeni kuchezea keyboard.​
 
kuwa makini na bajeti yako
Screenshot_20240227-154753~3.jpg
 
Back
Top Bottom