Kupendwa sana nako ni kero

Kupendwa sana nako ni kero

Hii ishu niko nayo muda huu aisee, Mm nilitaka kupiga then nikimbie ila ndo mambo yamekolea afu n mtamu knoma 😂
We mjinga si ndo unawaambia watu wapige nyeto? Kweli yakuambiwa changanya na yako
 
Yule kijana si huwa unamsumbua muda wote🤣
Hapana aisee......vile siku nzima nakuwaga occupied tunakutana usiku tunachombezana basi
Asubuhi tutapigiana simu
Mchana only text tena hazifiki 5 au kama kuna issue ya emergency tutapigiana chap
Wote tupo busy
 
We mjinga si ndo unawaambia watu wapige nyeto? Kweli yakuambiwa changanya na yako
Tulia bwana mdogo, siku moja moja hua nachafua uboo kwa wanawake then nakwenda kuisafisha kwa nyeto
 
Kuna kipindi flani, mtoto flani hv kutoka Mwanza alidata kichiz yn ilkuwa kila muda ni cm na kujua npo wap nafany nn hadi nkaanza kuona ni kero, Leo nna confirm nmemiss sana zile kero zake ,hapa nlpo sshv sio size yangu kbs nispomtafuta hanitafuti.

Nkimpata wakunpenda tena wallah sitamuangusha I'll love her to the fully tena awe msumbufu namna hiyo weeh ntakuwa mtu mwenye furaha sana hapa Dodoma.
Unataja mkoa uliopo ili aliehuko akutafute
 
Yaani unapendwa eeh, kila saa mtu anahisi wewe hurudishi upendo alionao yeye kwako, mara aone wewe una wanawake wengine duh.

Kupendana kuwe kwa kiasi, vikizidi ni kero, kama hujawahi kupendwa sana huwezi ukaelewa hapa. Kuna muda tunahidtaji ku focus na mambo mengine sio kila saa hivyo tu.
fact
 
Sasa hapo unachanganya upendo na utoto/ ujinga.
 
Back
Top Bottom