OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Jana tasnia ya soka ilishangazwa na timu ya Yanga kujiingiza kwenye siasa za vyama. Ninajaribu tu kuwaza nje ya box. Wote tumeshuhudia sakata la Makonda na GSM kutapeliana kiwanja. Je,nitakuwa sahihi nikisema GSM ameamua kuitumia Yanga kujipenyeza na kumpigia kampeni mama Samia ili kupata connection?
Hili liwe somo kwa club zote zikatae kutumiwa kisiasa na vyama. Sisi mashabiki mpira ni sekta inayotuunganisha bila kujali imani za kisiasa.