OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Daaah kweli ubongo mdogo sana yani Yanga ipo kwenye siasa kabla ya uhuru na baada ya uhuru.kwenye siasa za Dar na Tanzania GSM na Makonda ninani? Tuanzie hapo
View attachment 2157606
Jana tasnia ya soka ilishangazwa na timu ya Yanga kujiingiza kwenye siasa za vyama. Ninajaribu tu kuwaza nje ya box. Wote tumeshuhudia sakata la Makonda na GSM kutapeliana kiwanja. Je,nitakuwa sahihi nikisema GSM ameamua kuitumia Yanga kujipenyeza na kumpigia kampeni mama Samia ili kupata connection?
Hili liwe somo kwa club zote zikatae kutumiwa kisiasa na vyama. Sisi mashabiki mpira ni sekta inayotuunganisha bila kujali imani za kisiasa.
Kwani kuna malipo ya kuwa na comments nyingi? Hapa ni ujumbe kufikia wahusikaPunguza kuanzisha threads za kiitikadi na mahaba. Ona sasa, mimi ni mchangiaji wa saba wakati uzi una masaa manne
nakumbuka ilitokea kwa mkapa mashabiki wakashout mabadilikoNajiuliza hivi siku ikitokea kiongozi wa upinzani akawa na jambo lake hao TFF wataruhusu hilo lifanyike kabla ya kuanza mechi pale kwa Mkapa?
Serikali ina nguvu sana, na TFF imekuwa laini sana; mara nyingi huingilia mambo ya michezo hata kwa kuanzisha mashindano kama kombe la Mapinduzi kule Zanzibar na hivi vilabu vyetu hujikuta inavibidi kupeleka timu kule bila kupenda.