Kupewa MIC Makonda, Wasafi wamekata matangazo

Kupewa MIC Makonda, Wasafi wamekata matangazo

Hii inashangaza sana kweli Mh Makonda kupewa Mic kama mzungumzaji kwenye Harusi ya Dada wa Diamond, jamaa wamekata matangazo

Hii kitaalaam tunaitaje???

Kitaalamu inaitwa disconnect😆😆🤸🤸🤸pindua pindua units
 
Watanzania waneshakuwa watu wa kuchezewa mapichapicha tu. Sijui ndiyo namna ya kuchukuliwa nyota mana kuna vitu vinakuwa very obvious lakini ukiwaangalia na kuwasikiliza maoni ya unabaki kuchanganyikiwa tu.
Mie huwa nashangaa hapo , watanzania watu wa ajaabu sana ,wanapenda kuona watu wana matatizo tu . hivi ni kwann wako negative sana
 
Sio kweli kwamba alikatiwa matangazo but tangu mwanzo sauti ilikuwa inakata kata.

Hata shamte hakusikika.

So nadhani ni swala la kiufundi zaidi kuliko majungu
 
Mambo si bado, Dodoma ndio itatoa hitimisho.....msije mkabaki midomo wazi akipeta.
 
Huyo mzururaji akamatwe haraka..
 
Hii inashangaza sana kweli Mhe. Makonda kupewa MIC kama mzungumzaji kwenye harusi ya Dada wa Diamond, jamaa wamekata matangazo

Hii kitaalaam tunaitaje?
Tuniita kuwa "umechuja na huna kitu kwa hiyo huna jipya"
 
Back
Top Bottom