Kupewa MIC Makonda, Wasafi wamekata matangazo

Kupewa MIC Makonda, Wasafi wamekata matangazo

Wanajua yule jamaa akipewa microphone achelewi kulia
 
Hiyo kitaalamu tunaiita Unexpected Tactical Dilemma..

Ndio kilichobaki sasa, hakuna cha maana tena.

Kwako Jese!
[emoji28][emoji28] Umefikiria nini Kuja na hiyo aina ya dilemma.
 
Kaka tajiri means angempa msingi wa kufanya binness kubwa sio kwenda kuolewa ukewenza kisa jamaa ana pesa ,kwani mwanzo alivyokuwa na petiti alikuwa mke mwenza?
Kwahiyo ukiwa na kaka tajiri hutakiwi kuolew? Esma si ana biashara kafunguliwa na kaka yake?
Huwez jua yeye na Petit walishindwana nini utajuaje?

Muacheni aolewe yeye alipoona panamfaa na atapata futaha.basi
 
Hiv kwanini mna chuki na makonda kiasi hichi?
Naona mlezi wenu wa wana kaguswa ..pole juma
IMG_20200801_150453.jpg
 
Kwahiyo ukiwa na kaka tajiri hutakiwi kuolew? Esma si ana biashara kafunguliwa na kaka yake?
Huwez jua yeye na Petit walishindwana nini utajuaje?

Muacheni aolewe yeye alipoona panamfaa na atapata futaha.basi
Tatizo Ukewenza elewa mke wa 3 ina maanisha huyo jamaa ataogeza mke wa nne....

Mantki ya kaka tajiri nimesema angeweza kumpa msingi mkubwa sio biashara za mil 2 maduka ,bizness ya maana ambayo domo awe na ubia,nazungumzia bizness kama za kina Flavian sio kuanzisha salon na kafremu kakuuza nguo.
 
Wewe dadayako umemuanzishia biashara gani?
 
Wewe dadayako umemuanzishia biashara gani?
Swali zuri akikujibu nitag sijui kwanini wabongo wanapenda kuwapangia wanaume wenzie matumizi ya pesa wakati maisha yake mwenyewe Ni zima moto
 
Kiukweli mi sioni Kama kaporomoka,,kwasababu Kati ya MC na RC..mkubwa ni MC

Kwa sababu Kati ya R na M kwenye alphabetical order...M ndo inaanza halafu R unamalizia...hence shown
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu wa hum Jf bange mnazovuta sijui za wapi?
 
Back
Top Bottom