Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hii inashangaza sana kweli Mh Makonda kupewa Mic kama mzungumzaji kwenye Harusi ya Dada wa Diamond, jamaa wamekata matangazo
Hii kitaalaam tunaitaje???
No connection anymoreHii inashangaza sana kweli Mh Makonda kupewa Mic kama mzungumzaji kwenye Harusi ya Dada wa Diamond, jamaa wamekata matangazo
Hii kitaalaam tunaitaje???
@Mshana Jr kama unayo mawasiliano ya Bashite mjulishe anitafute.No connection anymore
Ingekuwa hivyo ndivyo unadhani walikua na sababu gani ya kumualika na kumpa Mic?No connection anymore
Hahahaha, umemaliza kila kituIngekuwa hivyo ndivyo unadhani walikua na sababu gani ya kumualika na kumpa Mic?
Watanzania wameshakuwa watu wa kuchezewa mapichapicha tu. Sijui ndiyo namna ya kuchukuliwa nyota mana kuna vitu vinakuwa very obvious lakini ukiwaangalia na kuwasikiliza maoni ya unabaki kuchanganyikiwa tu.Hahahaha, umemaliza kila kitu
Mie huwa nashangaa hapo , watanzania watu wa ajaabu sana ,wanapenda kuona watu wana matatizo tu . hivi ni kwann wako negative sanaWatanzania waneshakuwa watu wa kuchezewa mapichapicha tu. Sijui ndiyo namna ya kuchukuliwa nyota mana kuna vitu vinakuwa very obvious lakini ukiwaangalia na kuwasikiliza maoni ya unabaki kuchanganyikiwa tu.
Umenikumbusha shekhe majini@Mshana Jr kama unayo mawasiliano ya Bashite mjulishe anitafute.
Nimeoteshwa dawa ya kurudisha mvuto, kupumbaza wajumbe na kumshawishi mkubwa kwenye uteuzi.
Kajipendekeza, mm ni mmoja wa wanakamati wa harusiHahahaha, umemaliza kila kitu
Hahahaha sawa sawaKajipendekeza, mm ni mmoja wa wanakamati wa harusi
Ndoa za sikuhizi zimekaa kibiashara zaidi.Dada yake diamond? queen darleen au nani?
maana ndoa siku hizi imekua kama mkojo, kidogo tu mtu anakojoa.
Tuniita kuwa "umechuja na huna kitu kwa hiyo huna jipya"Hii inashangaza sana kweli Mhe. Makonda kupewa MIC kama mzungumzaji kwenye harusi ya Dada wa Diamond, jamaa wamekata matangazo
Hii kitaalaam tunaitaje?
Maisha yako yanaathiriwa vipi na wazurulaji ?Huyo mzururaji akamatwe haraka..
Maisha yako yanaathiriwa vipi na wazurulaji ?