Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Na kupiga kura halafu atangazwe mtu asiyeshinda ni ujinga kwa aliyepiga kuraKutokupiga kura ni ujinga
Kwa CCM hii?Kutokupiga kura ni ujinga
Ukipiga wewe inatosha mkuu, kwenye fursa za ulaji hatupeani Ila kwenye kura tupeane aisee safari hii mtatusamehe kaka.Kutokupiga kura ni ujinga
KivipiKutokupiga kura ni ujinga
Ahahahahh 🤣 🤣 🤣Faida ya kutokupiga kura ni kwamba, wewe utakayepita ujue sio kiongozi wangu na sijakuchagua, utakuwa mtu kama walivyo wengine
Mkuu sahivi CCM inalazimisha wanaccm wote wajiandikishe na wapige kura, hivyo bila kupiga kura CCM itatwaa mitaa yote, lengo la CCM ni usipige kura bora mpige kura wengi waone aibu kuiba kumbuka mfumo wetu ni wakijinga sn hata wakipiga wawili wakachagua basi anakuwa mshindi. Twendeni tukapige kuraKwa CCM hii?
Cc:- speech ya Nape, na wale viongozi wengine kuhusu wao kushinda.
Walithibitisha, hata mfanye nini, CCM Lazima ishinde.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sipo kwenye system wala CCM, mi napenda mageuzi nisiposhiriki kuyatafuta nitaendelea kuongozwa na hawa wajinga na mafisadi wa CCM, kumbuka lengo la CCM ni usipige kura ndiyo furaha yao maana Mwenyekiti anaweza kuchaguliwa hata na watu 5 tu akatangazwa, nadhani tubadili mindset zetu. CCM wapo serious na uchaguzi huu wa serikali za mitaaUkipiga wewe inatosha mkuu, kwenye fursa za ulaji hatupeani Ila kwenye kura tupeane aisee safari hii mtatusamehe kaka.
Utakuwa umekubali kuongozwa na wajingaKivipi
Ni lini CCM ilikuwa na aibu?Mkuu sahivi CCM inalazimisha wanaccm wote wajiandikishe na wapige kura, hivyo bila kupiga kura CCM itatwaa mitaa yote, lengo la CCM ni usipige kura bora mpige kura wengi waone aibu kuiba kumbuka mfumo wetu ni wakijinga sn hata wakipiga wawili wakachagua basi anakuwa mshindi. Twendeni tukapige kura
Kwahiyo 2015 Lowasa alishindwa kwasababu wana CCM walipiga kura kwa wingi?Sipo kwenye system wala CCM, mi napenda mageuzi nisiposhiriki kuyatafuta nitaendelea kuongozwa na hawa wajinga na mafisadi wa CCM, kumbuka lengo la CCM ni usipige kura ndiyo furaha yao maana Mwenyekiti anaweza kuchaguliwa hata na watu 5 tu akatangazwa, nadhani tubadili mindset zetu. CCM wapo serious na uchaguzi huu wa serikali za mitaa
Sasa lazima tushiriki kuzuia, akina Nyerere wangekata tamaa kama wewe huende Tz ingepata uhuru 1980 lakini walipambana bila kukata tamaa na kuna wakati alishitakiwa akalipa faini ya elf 3 ni kama milioni 300 ya sasa, akina Lisu wamepigwa risasi 36, Mbowe kafungwa kwa uonevu Lema alikimbia familia, kwenye mapambano hakuna kukata tamaa unakatia tamaa kizazi chako.Ni lini CCM ilikuwa na aibu?
Umesahau ya 2019 na 2023 bila shaka
Kabisa, ni ujinga kama kupiga kura tu.Kutokupiga kura ni ujinga
Kupiga kura Tanzania ni zaidi ya uzezeta mazezeta pekee ndio wanao pigishwa kura Tanzania.Kutokupiga kura ni ujinga