Kupiga kura ni haki ya kila Mtanzania, kutokupiga kura pia ni haki ya kila Mtanzania aliyeamua hivyo. Tusibembelezane

Kama wewe umeamua kuwa mwana mageuzi wa kweli kwa Sasa kuitoa ccm kwa box la kura haiwezekani , hapa inahitajika plan" b" Na hiyo plan b ni suala la muda tu, hiki kizazi cha watoto wa 2000 inshallah Nina imani watafanya jambo...sisi ngoja tufanye kazi ya kuwawezesha tu kuwapeleka vyuoni ili warundikane mtaani kwa wingi zaidi😀😀, nipe miaka 15 ijayo kama tutakuwa hai hii comment yangu utaikumbuka....
 
Kupiga kura Tanzania ni zaidi ya uzezeta mazezeta pekee ndio wanao pigishwa kura Tanzania.

Kwa sababu wana mtindio wa ubongo, akili hata punje hawana.
Mkuu kaa utafakari, bila kupiga kura hawa akina Lisu, Zitto, Mbowe, Slaa, Heche, Lema n.k tusingewaona bungeni na wametusaidia sn
 
NI sawa lakini lazima tushiriki kwa namna zote njia za wazi na za giza, CCM tukiwaacha wanakuwa wapumbavu zaidi, angalia bunge la kijinga kabisa tukipeleka wabunge wa upinzania hata 150 tu ni slaa tosha, kwanza tutajua uchafu wa bungeni mishahara ya kufuru pia wanapinga uchafu wa CCM.
 
Mimi siwezi kuongozwa mkuu, naongozwa na aliyenileta duniani tu, wewe ambaye hujui hata nakulaje, nalalaje hunisaidii kitu, huyo kiongozi naimani nikipangwa nae job ninayofanya mimi yeye hawezi
Mkuu maendeleo ya mtaa ni muhimu sn mimi sitaki kukata tamaa nitaendelea kupambana nao
 
Nyerere scenario yake kwa enzi zile ni tofauti kabisa na sasa wazungu walikuwa watu na wana utu ndio.
Siku hizi ukiingia 18 za watu unapotea mbali.
 
Nyerere scenario yake kwa enzi zile ni tofauti kabisa na sasa wazungu walikuwa watu na wana utu ndio.
Siku hizi ukiingia 18 za watu unapotea mbali.
Lakini broo kitendo tu cha akina Heche kurudi bungeni na wengine ni slaha kubwa sn, zinatungwa sheria za kishetani kabisa sababu hakuna wa kupiga ule uovu, angalia mfano rahisi wa TLS Mwambukusi angekata tamaa leo tungekuwa wapi? TLS ilikuwa tawi la CCM lakini sasahivi TLS imekubwa kimbilio la wanyonge kuliko lile bunge la kishetani
 
Uko sahihi kabisa kwani kuanzia 2019 na 2020 hadi sasa tumeongozwa na viongozi ambao siyo lakini tunaishi.Kwa kweli Mungu akubariki maana uongozi wa Tanzania kwa sasa siyo kuchaguliwa bali ni hisani kutoka kwa watu fulani wenye nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…