Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Oct 15, 2024 Thread starter #41 NACKO said: Duh!...huku kuna watu wanalambishwa elfu tano tano ili wakawapigie wakina fulani kura,... Click to expand... Kuna watu wanalambishwa buku mbili mtaani kwetu
NACKO said: Duh!...huku kuna watu wanalambishwa elfu tano tano ili wakawapigie wakina fulani kura,... Click to expand... Kuna watu wanalambishwa buku mbili mtaani kwetu
NACKO JF-Expert Member Joined Oct 27, 2022 Posts 1,298 Reaction score 2,514 Oct 15, 2024 #42 Mwamuzi wa Tanzania said: Kuna watu wanalambishwa buku mbili mtaani kwetu Click to expand... huku kwetu kuna watu wamelambishwa hizo buku tano na wameapa kwenda kuwapigia kura, huku wakisifia kuwa yule jamaa ni mtu na nusu😂🤣🤣🤣
Mwamuzi wa Tanzania said: Kuna watu wanalambishwa buku mbili mtaani kwetu Click to expand... huku kwetu kuna watu wamelambishwa hizo buku tano na wameapa kwenda kuwapigia kura, huku wakisifia kuwa yule jamaa ni mtu na nusu😂🤣🤣🤣
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Oct 15, 2024 #43 Mimi sitopiga kura . Kama ntajariwa Afya na uzima ntapiga kura 2030 .