Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #261
Mkuu fazili , japo kweli mimi ni kada wa CCM, mimi ni kada wa type hiiNi huo huo mfumo CCM ambao hata wewe umeutamani uwe mmoja wao ili na wewe uutetee.
Mungu yupo alitenda na atatenda!.Paschal CCM sasa ilishafanyika kitu kingine tofauti na kile wanachojua watanzania! Ni mfumo wa watu flani na kila aliye ndani ya mfumo huo anatamani CCM idumu milele lakini akitoka huko anauchukia mfumo huo. CCM kutoka madarakani itategemea msaada wa Mungu.
Acha upumbavu binti!Mwendawazimu ni Jiwe aliyekuwa anaitawala nchi kwa kuheshimu ndoto zake.
Leo hii nchi inatumia kodi za wananchi kulipia fidia na adhabu zilizo sababishwa na maamuzi yake ya kuheshimu ndoto.
Kama Kuna sheria inazuia mashauri yote kusikilizwa Nje ya nchi. Inakuwaje haya malipo yanafanyika? Au hiyo sheria ilifutwa baada ya mabadiliko ya awamu?
DahAcha upumbavu binti!
..
Jiwe alitaka kukutoa kwenye makucha ya unyonyaji!
Kwa mfano akija Rais mwingine mwenye akili unafikri ataendelea na huu uharo wenu wa Dp world.?
Exactly. Lissu alitoa ushauri mujarab kabisa. Ila Dikteta akamshindilia risasi 16. Na Mungu kamuepusha Lissu na kifo ili aje kutusuta kwa kupuuza ushauri wakeHaya mashauri yanahusiana na ile kauli ya TAL ya Professorial Rubbish?
Hawa watu wanashirikiana kuuza kesi, kuna mengi hamyajui., hapakuwa na kesi ya kushindwa hapoExactly. Lissu alitoa ushauri mujarab kabisa. Ila Dikteta akamshindilia risasi 16. Na Mungu kamuepusha Lissu na kifo ili aje kutusuta kwa kupuuza ushauri wake
Nchi ngumu sana hii!!Nani alaumiwe mkuu kama sio ccm. Mmoja apokee wawekezaji mwingine aje wafukuza. Unategemea nini?
Mkuu espy , kwanza asante kuchangia uzi huu with such objectivity, na mpaka sasa hili bandiko liko page 15, wewe ndie the first one to follow the links and respond kuhusu do we have the guts. Umejibu vizuri kuwa we have the guts and Blaza wangu had the brass balls!, where is he now?, unajua aliondokaje?, aliondoka, alitwaliwa au aliondoshwa?. Vitu vingine tuviache tuu, kama unaamini ni tarehe 17/3 na sababu ni ile, it's good for you!.Yes we had the guts!
And we proved it. We ripped up the damn contracts. Because they were unconscionable and the President had the brass balls to do something about it.
Kwanza sijamlaumu aliyevunja mikataba, nimewalaumu washauri wake walitunga retroactive law ambayo ni repressive!, yeye sio lawyer hivyo hajui!, wanaojua walimdanganya, kama Tume ya Mwakyembe ilivyomdanganya Jakaya kwenye Dowans, tukavunja mkataba, tukashitakiwa, tukashondwa, tukakomaa hatulipi!, tulilipa every cent kisirisiri!. Swali waliotufanya hivyo wamefanywa nini?!.Unamhukumu aliyefuta mikataba badala ya kumlaani aliyeingia mikataba in the first place.
Pombe Magufuli alikuta nchi inavuja damu ya mabilioni ya dola migodini. Akashindwa kuduwaa kama zoba anatazama nchi inarepiwa. Kama ni we ungefanyaje ?
What about infinite numbers like paying for one's life?. Kwenye huu uzi, Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts? niliuliza vizuri kabisaAkapiga hesabu akaona faini ya kufuta mikataba ni bora - kwa sababu ni finite number - kuliko gharama ya kuendelea kubakwa migodini bila hesabu, bila ukomo.
Wanabodi,
Swali kuu la msingi ni jee Tanzania, can we stand by mabadiliko haya ya sheria zetu kwa kukata mirija ya wanyonyaji?. Jee do we have the guts to stand by the laws kwa mabadiliko haya?. Isije ikawa tunashangilia sasa, kisha tunakuja kugeuziwa kibao kwenye mengine yote ili kushikishwa adabu na mabeberu hawa na mwisho wake tunakuja kujutishwa na mabeberu kwa vilio na kusaga meno?. Nani anakijua kilichomkuta Patrice Lumumba wa Congo kwasababu ya utajiri wa Almasi?. Nani anakumbuka kuhusu blood Diamonds za Angola?. Nani anakijua kilicho muondoa Saddam Hussein Iraq, au Muammar Gaddafi Libya?. Linapokuja suala la mabeberu kulinda interests zao, mabeberu sio watu kabisa ni ma beasts kabisa, hivyo tusipojiangalia, tutakuja kushangaa, mtu wetu anaondoshwa mzima mzima na tunabaki tukishangaa na tusiamini!.
Ushauri wa The Best Way Forward ni Renegotiation to Reach A Win Win Situation
Kupitisha sheria mpya kwa hati ya dharura bila ushirikishwa ni kosa, maadam tumeisha fanya kosa, kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa!. Hivyo huu ni ushauri wangu wa the best way forward kwa situation iliyopo ni kukaa mezani na wawekezaji wote tuliosaini nao mikataba kabla ya sheria hii mpya kupitishwa, kuwapigia magoti, kuwaomba wakubali kupitia upya mikataba yao katika win win situation, sisi tupate na wao wapate, hii ya kulazimishana, nawaombeni sana msishangilie na kumvimbishwa kichwa rais Magufuli kuwa tunaweza kila kitu, tuwalazimishe lazime wafuate, asiyetaka na afungashe, aondoke!, jee tunaweza?, tunayo jeuri hii?. Kuna watu kama Billy Gates au Dangote, akikohoa tuu, nchi zinatetemeka!, can we stand?.
Kitakacho Tokea
Kitakacho tokea ni ama baadhi ya vipengele vya sheria hii mpya vitapuuzwa, ama ili kuepuka aibu ya kupitisha sheria mbovu kwa mbwembwe, serikali itapeleka kimya kimya, marekebisho ya baadhi ya vipengele vya sheria hii, kikiwepo hicho kipengele cha arbitration, kitaondolewa ili kurejesha confidence kwa wawekezaji. Kwenye hili, time will tell, kama Nyerere na Sokoine walikuwa ni wakali ukweli ukweli, lakini walishindwa, hivyo kwenye hili la sheria kutekelezwa kwa retroactively, naowaomba mimi niwe mkweli bayana wa nafsi yangu, Mwalimu wangu Prof. Kabudi na wanasheria wake, waliotunga sheria hii kwa mtindo wa zimamoto, wamemdanganya rais Magufuli kwa kumtungia sheria yenye vipengele vya ajabu, halafu rais aka asent, then sheria hii itashindwa kutekelezwa, hivyo soon watapeleka marekebisho Bungeni na kumrudia rais a accent marekebisho hayo, na hili likitokea, naombeni hoja za bandiko hili zizingatiwe, Tanzania tutaonekana ni nchi ya ajabu, tunatunga sheria za ajabu kwa mbwembwe, tunazipitisha kwa mbwembwe, rais wetu ana zi asent kwa mbwembwe, lakini katika utekelezaji ndipo tunajikuta kumbe Bunge letu, na serikali yetu, iliyosheheni wanasheria manguli tena wengine ni waalimu wetu wa sheria wa chuo chetu kikuu cha Dar es Salaam ambao sisi tulipokuwa wanafunzi tukisomea sheria, waalimu hawa ndio waliotufundisha kuwa sheria yoyote inayotungwa kama ita act retroactively is a bad law, it's illegal, lakini leo, waalimu hawa hawa ndio wamegeuka wanasiasa na wao sasa ndio hawa wametunga illegal law, wakaipitisha, wakampelekea rais akaisaini ianze kutumika, huku wanajua fika retroactively law is illegal law kwenye jumuiya ya Madola, lakini bado wamepitisha, sasa siku ya kurejea Bungeni kuyarekebisha haya madudu yao ya kisheria, hizi sura zao wataziweka wapi?.
Paskali
Naunga mkono hojaSasa:
1. Tumefuta rasmi kuliwa na mikataba ya kihalifu na kibeberu na kiwendawazimu ya Mkapa na Kikwete.
2. Tuna sheria mpya zitakazojaribu kuzuia mikataba ya kijangili siku za mbele.
3. Tumetuma ujumbe usio na utata kwa dunia ya wawekezaji kwamba tukiliwa huwa tunashtuka. Hawawezi kuja kwa style zile zile tena.
4. Tuna masoko ya madini na Kenya wameacha kuitangaza Tanzanite.
Tumeacha kuwa vichaa. Na ndicho alichosema Nyerere alipofunga mgodi wa Sekenke in 1967, tuachane na hii biashara kichaa mpaka tujitambue.
Kwa jambo hili, HESHIMA MBELE KWA KUMBUKUMBU YA JOHN POMBE MAGUFULI
HAPANAHaya mashauri yanahusiana na ile kauli ya TAL ya Professorial Rubbish?
Wewe unayeyajua si uyaweke hapa!! Eti watu wanashirikiana kuuza kesi? Ukichagua kufuata ushauri wa kijinga kama JPM lazima yakukute haya. Ila angefuata ushauri wa Lissu tusingekuwa na hasara hiiHawa watu wanashirikiana kuuza kesi, kuna mengi hamyajui., hapakuwa na kesi ya kushindwa hapo
Mbona hili Lissu hakulisemea wewe umelitoa wapi?Wewe unayeyajua si uyaweke hapa!! Eti watu wanashirikiana kuuza kesi? Ukichagua kufuata ushauri wa kijinga kama JPM lazima yakukute haya. Ila angefuata ushauri wa Lissu tusingekuwa na hasara hii
Nchi hii tunadaiwa madeni mangapi legitimate kabisa na hayana kona kona na hatujayalipa, iweje hizi za ICSID chap kwa haraka watu wanalipa?Wewe unayeyajua si uyaweke hapa!! Eti watu wanashirikiana kuuza kesi? Ukichagua kufuata ushauri wa kijinga kama JPM lazima yakukute haya. Ila angefuata ushauri wa Lissu tusingekuwa na hasara hii
Hapo ndipo panapo hitaji hekima.. hatuna viongozi wa dini tuna magenge ya kina Yuda eskarioti, wapenda mali ndo hili limoja lintataka mama wa taifa....Nashukuru leo umeandika kama Paschal Mayalla, kimsingi hizi ni dili za Mkwere, hii kesi haikuwepo imefufuliwa mwezi wa 7 2023 September 2023 malipo yakafanyika sijui kwa budget ipi? Ukisikia wateule wanamsifia sn maza kupita MUNGU wao sababu ni dili kama hizi, mara awe Mama wa Taifa sijui Dkt huku nchi ipo gizani, hakuna maji petrol shida, majibu ni haya. Tuacheni uchawa tusimame na nchi yetu
Tundu Lisu aliyasema haya yakamkuta yaliyomkuta, mama alianza vzr eti naye anadai kuna watu wanajadili dini za wenzao, jamani jamani.... Hawaoni kina Mazinge,Mwaipopo na wengine, raisi wa nchi kweli?!!!!Upinzani wakisema haya tunaitwa Vibaraka, hatujui! Hahahaaha sisi tumetangaliza siasa kwenye Kila kitu, siku tukiweza kutengenisha Kwa asilimia kadhaa tu tutakua mbali
Hivi hii itakiwa ni roho fulani inawavaa? Hivi huyu anayewateua anjisikiaje akisifiwa mambo ambayo hayapo? Kwanza ile Invoice iliyoongezwa ununuzi wa ndege iliishia wapi? Yeye si ndio alituambia? Tulimuuliza?Nilikuwa najiuliza mbona wateule wake wanamsifia sn maza? nimepata majibu
Nilikupenda sana wowowowooo mfaaano wa mauaooo lakini hupendeki wowowowoo bora sasa wende x 100!!!Hivi hii itakiwa ni roho fulani inawavaa? Hivi huyu anayewateua anjisikiaje akisifiwa mambo ambayo hayapo? Kwanza ile Invoice iliyoongezwa ununuzi wa ndege iliishia wapi? Yeye si ndio alituambia? Tulimuuliza?
Lisu alisema tutanyolewa bila maji....Mashauri yaliyopo katika hatua za usuluhishi ni:
1. Sunlodges v. Tanzania
2. Agro EcoEnergy and others v. Tanzania
3. Symbion Power and others v. Tanzania
4. Saab v. Tanzania
5. Winshear v. Tanzania ●✔️
6. Nachingwea and others v. Tanzania●✔️