Kupigwa billioni 75 ni ujinga au upumbavu? Tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?

Umeongea kwa uchungu Kama mtanzania mzalendo wa nchi yako na sio wale wanaojifanyawazalendo wanaovaa tai za Bendera ya Taifa au wale wanaoitwa ikulu kuimba nyimbo za uzalendo.
Ni kweli inatia uchungu kuona nchi inalipa pesa nyingi bila sababu za msingi. He umewahi kujiuliza Kama Tanzania ndio nchi ya kwanza kuvunja mikataba isiyo na manufaa kwa nchi? Kama sio nchi ya kwanza nchi nyingine zilizochukua hatua Kama ya Tanzania hatima take ilikuwaje? Mimi naungana na wote wanaosema hizi tozo ni mipango inayofanywa na viongozi waliopo serikalini na wale wanaotudai. Mazingira yanasapoti hoja yangu mfano Kuna ndege ya ATCL ilikuwa imepaki uholanzi zaidi ya mwaka kwa kisingizio ni mbovu lakini baadae tukasikia imekamatwa kwa sababu Tanzania inadaiwa. Sasa hivi Kuna kesi nyingi ambazo huitaji kuwa mwanasheria kujua hazina mashiko, mfano kesi iliyofunguliwa na mwekezaji aliyekodi ardhi Zanzibar baadae akanyang'anywa na serikali ya Zanzibar. Kesi imefunguliwa dhidi ya serikali ya Tanzania wakati mchakato na makubaliano yote hayakuhusisha serikali ya Tanzania.
 
Maafa na rulling ya mahakama ipi ina uzito?
 
Tanzania ni kama mwanamke malaya kila anayejaribu anapata ,bado watakuja wengine baada ya huyo kupata
 
"Bunge letu liache kujipendekeza kwa serikali, likiletewa miswada ya ajabu ajabu, liwe na uwezo wa kuigomea serikali na kuwarudishia madudu yao kuepuka wote kuonekana wajinga!"

Paskali,
Pendekezo lako namba 7 ili lifanikiwe ni lazima rasimu ya jaji Warioba irudishwe haraka Sana. Kinyume na hapo wabunge wataendelea kumuogopa mwenyekiti wao wakihofia kukatwa majina ya ubunge wao. Hatuna Bunge pale, hatuna mahakama pale, mpaka rasimu ya jaji Warioba itakapoheshimiwa.
 
CCM siyo mtu, haiwezekani kuilaumu. Huko mahakamani haiendi CCM.
Tulaumu watu wanaofanya haya maamuzi na watajwe hadharani ili wananchi tuwaachie au tuwahukumu. Siyo kila siku kutaja kitu kisichoonekana eti ccm.
Watu wanaofanya haya maamuzi hawawez kutajwa sababu ni watu wakubwa ccm mkuu kwanini uitoe hapa ccm ? Watu wote wanaofanya blunder ni wateule wa RAISI, na kigezo kikuu sio WEREDI WA KAZI NI KUWA CCM NAMBARI MOJA NA KUWA MPIGA CHAPUO NAMBAMOJA WA ALIEKUCHAGUA ILI IKIFIKA WAKATI WA UCHAGUZI ACHAGULIWE TENA NA AKUTEUE TENA UKAFANYE BLUNDER SEHEMU NYINGINE, REGIME ILIYOTENGENEZWA NA CCM NI MAVI MATUPU, ndio mana watu wanataka KATIBA MPYA…vyeo vingi vya kiprofeshenali wanapewa watu kwa kigezo cha ccm na sio kigezo cha kuwa wanajua sasa unadhan hayo makesi yataisha ?
 
CCM NI MAJIZI MZEE, KATIBA MPYA MUHIMU SANAAA
 
Yan eti wanaoenda kula lunch na RAIS ikulu kina shilole and the types kmmk hivi hawa wanaweza wakatoa mawazo gani mbadala wa kuikomboa hii nchi kwenye umasikini ulopitiliza, kila mwanaccm anasifia ujinga ulopitiliza kama kwenye post hii yatakuwa yamekaa kimya yanasubir maza azindue kitu kwa hela ya watanzania waje kusema mama anaupiga mwingi yan kama hela katoa zake, majinga ni mengi sana tanzania bila sheria kubadilishwa tutalalamika sana ishue kama hizi, nakuhakikishia mtu kama babu tale hii document haelewi kitu ila ye ndio yupo kule kuisemea mikataba inatohusu document kama izo, dfwuk is wrong with this country ? Tunapigwa kila sikuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…