TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Lengo tu Umeme usiwake wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na treini ya SGR isitembee...au?350b mkuu halafu ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lengo tu Umeme usiwake wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na treini ya SGR isitembee...au?350b mkuu halafu ...
duh kweli tukubali tumepigwaKimoja cha watu 30000 hv
Maafa na rulling ya mahakama ipi ina uzito?Lazima zitolewe haraka Kwa sababu huku ni rulling ya Mahakama vinginevyo Jamaa angekataa kuondoa shauri Mahakamani gharama ingekuwa zaidi ya hiyo.
Pili ni haraka Kwa sababu pia anaweza shika Mali za Nchi na mwisho Kuna wanamufaika hapo katikati ambao ndio wamesababisha Nchi ifike huko.
Maafa zinatokewa chap vinginevyo uje na mfano.
Tanzania ni kama mwanamke malaya kila anayejaribu anapata ,bado watakuja wengine baada ya huyo kupataUmeongea kwa uchungu Kama mtanzania mzalendo wa nchi yako na sio wale wanaojifanyawazalendo wanaovaa tai za Bendera ya Taifa au wale wanaoitwa ikulu kuimba nyimbo za uzalendo.
Ni kweli inatia uchungu kuona nchi inalipa pesa nyingi bila sababu za msingi. He umewahi kujiuliza Kama Tanzania ndio nchi ya kwanza kuvunja mikataba isiyo na manufaa kwa nchi? Kama sio nchi ya kwanza nchi nyingine zilizochukua hatua Kama ya Tanzania hatima take ilikuwaje? Mimi naungana na wote wanaosema hizi tozo ni mipango inayofanywa na viongozi waliopo serikalini na wale wanaotudai. Mazingira yanasapoti hoja yangu mfano Kuna ndege ya ATCL ilikuwa imepaki uholanzi zaidi ya mwaka kwa kisingizio ni mbovu lakini baadae tukasikia imekamatwa kwa sababu Tanzania inadaiwa. Sasa hivi Kuna kesi nyingi ambazo huitaji kuwa mwanasheria kujua hazina mashiko, mfano kesi iliyofunguliwa na mwekezaji aliyekodi ardhi Zanzibar baadae akanyang'anywa na serikali ya Zanzibar. Kesi imefunguliwa dhidi ya serikali ya Tanzania wakati mchakato na makubaliano yote hayakuhusisha serikali ya Tanzania.
Walimu watasubili sn kupata maslahi bora, ngoja kwanza tulipe madeni ya nje.Billion 75 dadeki [emoji848]
Maafa yapi ukiambiwa hakuna pesa?Maafa na rulling ya mahakama ipi ina uzito?
Alikuwa anamwogopa Magu si unajua tena vijana walikuwa wanakuwa machawa bila kupendaMungu akubariki Pascal Mayalla kwa kurudi kwenye uzalendo wa kweli tofauti na hapa kati ulipogeuka Chawa.
Inauma tena inahuzunisha tunavyotendewa
Tuendelee kula nyama, mtori tutaukuta chiniMaafa yapi ukiambiwa hakuna pesa?
Mbona hapa umesahau kuweka namba ya kupitishia maokoto/uteuzi?Tujisahihishe kama ambavyo amewahi kuandika baba wa Taifa ili tusirudie makosa ambayo yatakuwa yanatugharimu kama Taifa.
Watu wanaofanya haya maamuzi hawawez kutajwa sababu ni watu wakubwa ccm mkuu kwanini uitoe hapa ccm ? Watu wote wanaofanya blunder ni wateule wa RAISI, na kigezo kikuu sio WEREDI WA KAZI NI KUWA CCM NAMBARI MOJA NA KUWA MPIGA CHAPUO NAMBAMOJA WA ALIEKUCHAGUA ILI IKIFIKA WAKATI WA UCHAGUZI ACHAGULIWE TENA NA AKUTEUE TENA UKAFANYE BLUNDER SEHEMU NYINGINE, REGIME ILIYOTENGENEZWA NA CCM NI MAVI MATUPU, ndio mana watu wanataka KATIBA MPYA…vyeo vingi vya kiprofeshenali wanapewa watu kwa kigezo cha ccm na sio kigezo cha kuwa wanajua sasa unadhan hayo makesi yataisha ?CCM siyo mtu, haiwezekani kuilaumu. Huko mahakamani haiendi CCM.
Tulaumu watu wanaofanya haya maamuzi na watajwe hadharani ili wananchi tuwaachie au tuwahukumu. Siyo kila siku kutaja kitu kisichoonekana eti ccm.
CCM NI MAJIZI MZEE, KATIBA MPYA MUHIMU SANAAAHIz ni shule kadhaa kaliiii za serikali kiwango cha english medium kwa kila mkoa Tanzania Nzima.Sio chininya shule 20 zilizokamilika kwa kila mkoa watoto wetu wakasoma kwa angalau kulipa ada ya 150,000/= kwa mwaka ili kuzifanya ziendelee kuwa bora.
Hizi ni hospitali kail za kiwango cha kati zenye huduma zote muhimu kwa kila kijiji Tanzania nzima.Hospital moja moja kwa kila Kata nchi nzima yenye mahitaji yote ya muhimu.
Lakin cha kusikitisha pesa hii inaenda mfukoni mwa watu watatu tuuu out of more the 60Millions people in the whole fu*cking repulic
Shida sio katiba tusitoane ufahamu shida inaanzia kwenye bongo zetu.CCM NI MAJIZI MZEE, KATIBA MPYA MUHIMU SANAAA
Yan eti wanaoenda kula lunch na RAIS ikulu kina shilole and the types kmmk hivi hawa wanaweza wakatoa mawazo gani mbadala wa kuikomboa hii nchi kwenye umasikini ulopitiliza, kila mwanaccm anasifia ujinga ulopitiliza kama kwenye post hii yatakuwa yamekaa kimya yanasubir maza azindue kitu kwa hela ya watanzania waje kusema mama anaupiga mwingi yan kama hela katoa zake, majinga ni mengi sana tanzania bila sheria kubadilishwa tutalalamika sana ishue kama hizi, nakuhakikishia mtu kama babu tale hii document haelewi kitu ila ye ndio yupo kule kuisemea mikataba inatohusu document kama izo, dfwuk is wrong with this country ? Tunapigwa kila sikuuuuUmeongea kwa uchungu Kama mtanzania mzalendo wa nchi yako na sio wale wanaojifanyawazalendo wanaovaa tai za Bendera ya Taifa au wale wanaoitwa ikulu kuimba nyimbo za uzalendo.
Ni kweli inatia uchungu kuona nchi inalipa pesa nyingi bila sababu za msingi. He umewahi kujiuliza Kama Tanzania ndio nchi ya kwanza kuvunja mikataba isiyo na manufaa kwa nchi? Kama sio nchi ya kwanza nchi nyingine zilizochukua hatua Kama ya Tanzania hatima take ilikuwaje? Mimi naungana na wote wanaosema hizi tozo ni mipango inayofanywa na viongozi waliopo serikalini na wale wanaotudai. Mazingira yanasapoti hoja yangu mfano Kuna ndege ya ATCL ilikuwa imepaki uholanzi zaidi ya mwaka kwa kisingizio ni mbovu lakini baadae tukasikia imekamatwa kwa sababu Tanzania inadaiwa. Sasa hivi Kuna kesi nyingi ambazo huitaji kuwa mwanasheria kujua hazina mashiko, mfano kesi iliyofunguliwa na mwekezaji aliyekodi ardhi Zanzibar baadae akanyang'anywa na serikali ya Zanzibar. Kesi imefunguliwa dhidi ya serikali ya Tanzania wakati mchakato na makubaliano yote hayakuhusisha serikali ya Tanzania.
Mie nadhan ifikie hatua hawa wanaotutia hasara tuwanyonge hadharaniTujisahihishe kama ambavyo amewahi kuandika baba wa Taifa ili tusirudie makosa ambayo yatakuwa yanatugharimu kama Taifa.