Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Gwajima ana elements za kushirikianaAskofu Gwajima amesema aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo aliwakatalia walokole kufanya matamasha ya mkesha kwa madai kuwa wanapiga kelele.
Gwajima amesema Gambo ni " mtoto wa dawa" au Jini mtu nasi baada ya kusikia kufuru zake tulimlaani na kumshtaki mbele za Mungu wa mbinguni.
Maendeleo hayana vyama!