Kupigwa Marufuku Makanisa ya Kilokole, Gwajima amjibu mkuu wa mkoa wa Arusha, ni mtoto wa Dawa

Gwajima ana elements za kushirikiana
 
stupid tapeli Gwajima, anataka kudandia tukio la Gambo aonekane anaweza kulaani. Laana anayo yeye anayetapeli watu!
 
Hiv kweli pamoja na Gwajima kujihusisha na ngono kanisani kwake, kujirekodi na hata kupata tuhuma fulani fulani mbaya, bado kweli ana waumini?! Kweli kuna misukule TZ...
 
Gwajima hana moral authority ya kumshtakia mtu yoyote kwa Mwenyezi Mungu.
 
Yeye kamzungumzia Mrisho!

Sawa.Swali langu ni kwamba anajinasibu kuwa kuenguliwa kwa ghambo nimajibu ya maombi yake, je alipoitilafiana na toto pendwaakasema ameshamfuta kwenye ulimwengu wa sias, mbona huyo bado yupo tu, au au toto pendwa alitubu na kusamehewa?
 
Huyo porn star alimlaani Gambo akiwa kiunoni akirekodi filamu ya ngono???
 
Gwajima umeanza ule utapeli wako!
Utamlaani kwa Mungu yupi?
Unaowatapeli na kuwaibia wanavyokulaani?
We endeleza uponyaji wa kisanii ila elewa kiyama kipo na Mungu yupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…