Kupigwa MTUNGO/ kuliwa MANDE ni Janga kwa wanawake wa Tanzania

Kupigwa MTUNGO/ kuliwa MANDE ni Janga kwa wanawake wa Tanzania

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
Wakuu habari zenu..

Leo naomba kuongelea swala moja hivi ambalo mie nahisi ni udhalilishaji wa mwanamke kwa kiasi kikubwa, nacho ni
MTUNGO...

MTUNGO ni hali ile ya mwanamke kufanya mapenzi zaidi ya mwanamme mmoja kwa wakati mmoja.

MTUNGO umekuwa maarufu sana hapa nchini kwanzia miaka ya 90 na umeshika kasi miaka ya 2000 na karne hii ya 21 ndio usiseme..

Najua wewe msomaji kama haujashiriki kwenye MTUNGO kwa namna moja ama nyingine kama kufanyiwa, au kufanya au kupanga kuufanya, basi rafiki yako au ndugu yako au mtu yeyote unayemjua atakuwa kapita kwenye adha hii ya MTUNGO

Vyuoni ni sehemu ambapo MTUNGO huwa unafanyika, uswahilini na mitaani haipiti wiki kama hujasikia kuwa fulani kaliwa MTUNGO na wanaume 4, mara kaliwa MTUNGO na wanaume 7

Kwa kawaida MITUNGO huanzia wanaume wawili inaenda mpaka wanaume wanane... Nadra sana kusikia MITUNGO ya wanaume kumi, ila tumezoea kusikia MITUNGO ya wanaume wawili, watatu, wanne, sita na saba

MTUNGO mara nyingi nauita ni udhalilishaji kwani inakuwa sio ridhaa ya mwanamke, utakuta mwanamke kapanga kwenda kufanya mapenzi na mwanamme mmoja kumbe yule mwanamme kaplan MTUNGO , akifika anakutana na watu wanne wanamfanyia cha kumfanyia ...

Pili wanawake wanaleweshwa, wanawekewa madawa ya kulevya halafu baada ya hapo wanafanyiwa cha kufanyiwa yaani wanapigwa MTUNGO..

Wapiga MTUNGO wanakuwa na motives zao na mara nyingi hizi motives ndio huwa zinakera na unaweza kuwaua hawa wapiga MTUNGO

Mara nyingi huwa ni
Kwanza kutaka kumkomesha msichana fulani aidha walimtongoza na amewakataa, so wanapanga plan za kumla MTUNGO ili kumkomesha. Hapa ndipo wanatumia kigezo hiki cha kumlewesha

Pili LOW SELF ESTEEM ya wanaume, kuwa wanajua hawawezi mpata msichana fulani hivyo wanamtafuta mwenzao ambaye ana uwezo wa kumpata wanamtongoza kupitia huyo jamaa unakuta msichana wa watu kampenda huyo jamaa.. Anaenda nae ku sex ndipo inakuja midomo zege na yenyewe inataka kula ... MTUNGO unatokea...

Kwa mtindo huu maambukizi ya ukimwi hayataisha

Kama nilivyosema kuwa case nyingi za mitungo hutokea ma vyuoni na haya ni maeneo ambayo case za MTUNGO zimefanyika

Mabibo hostel, IFM, CBE, UDSM,

Shule za sekondary

St Marys, St Antony, Makongo, Alpha, Green Acres na shule nyingi ambazo zina mabweni na hosteli

Maeneo ambayo cases nyingi za MTUNGO zinasikika sana ni

Sinza, Mwananyamala, Kinondoni, Magomeni, Ilala, Manzese, Temeke, Tandika, Changombe, Vingunguti, Buguruni, Manzese N.K


Kitu kinachowacost wanawake

Ni kule kuwa social kule eti am social, I talk with everybody bla bla bla..

Kupenda sana starehe na pombe za bure hili nalo ni tatizo

Kuwa mzuri sana then kuwa na pozi (hawa mie ndio naumia sana nikisikia wamepigwa MTUNGO) kwani utakuta msichana ni mzuri sana na ana pozi yes lazima awe na pozi si ni mzuri na katulia... Sasa watu wanamtegea mitego ya hapa na pale na bila kujua anaishia kupigwa MTUNGO

Kutokujua Martial Arts
Wanawake wanatakiwa wajue Martial Arts kama karate, kung fu, taekwondo.. N.k hii itasaidia kupunguza upigwaji wa MITUNGO ovyo ovyo..

Nakaribisha Hoja..
 
naona mnakosa hoja ,mnaanza kujadili ushetani asubuhi hii.poor you C.T.U
 
Last edited by a moderator:
Aggrhhh,nime mwaga kahawa yangu. kichefu chefu hiki.
Haya ni matokeo ya picha chafu,tusi mkasirishe Mungu dhambi zetu zinatosha tusiongeze uchafu zaidi.
 
naona mnakosa hoja ,mnaanza kujadili ushetani asubuhi hii.poor you C.T.U

Maada yangu inakemea au inatetea huu ushetani unaouita..??

Ina maana hata mtu akipost mada ya kukemea ushoga utamwambia poor him/her kisa anajadili mada ya kishetani..??


Dah kweli Elimu ina umuhimu wake
Bora uwe masikini ila uwe umepita Darasani
 
Last edited by a moderator:
Aggrhhh,nime mwaga kahawa yangu. kichefu chefu hiki.
Haya ni matokeo ya picha chafu,tusi mkasirishe Mungu dhambi zetu zinatosha tusiongeze uchafu zaidi.

Sioni kidubwasha cha like kaka yangu Speaker. Umemaliza aksante
 
Last edited by a moderator:
Kama nilivyosema kuwa case nyingi za mitungo hutokea ma vyuoni na haya ni maeneo ambayo case za MTUNGO zimefanyika

Mabibo hostel, IFM, CBE, UDSM,

Shule za sekondary

St Marys, St Antony, Makongo, Alpha, Green Acres na shule nyingi ambazo zina mabweni na hosteli

Maeneo ambayo cases nyingi za MTUNGO zinasikika sana ni

Sinza, Mwananyamala, Kinondoni, Magomeni, Ilala, Manzese, Temeke, Tandika, Changombe, Vingunguti, Buguruni, Manzese N.K



..

i see.....mixed reviews
 
Kuna tofauti gani kati ya mtungo na ubakaji? Hapo neno sahihi ni ubakaji, na kama mtu alielewana na A, kule akawakuta B, C, D etc na waka sex naye bila ridhaa, huo ni ubakaji.
Kuna wale ambao wao wanaridhia kusex na wanaume wengi kwa hiyari yao huwezi sema ni ubakaji, unaweza ita hata group sex.

Lakini kwa mujibu wa maada uliyoweka hapo, mtungo ni ubakaji, na mwanamke aliyefanyiwa hivyo anaweza enda polisi.
 
Sio adha kwa watu wanaofanya kwa kupenda. Mtungo pia, sio lazima kwa wanaume kuwa wengi. Hata mwanaume mmoja kwa vidosho watatu ni mtungo pia.
 
Unamuonea C.T.U. yeye ameitahadhalisha jamii, mimi binafsi nlikua sijui kama upuuzi huu unafanyika mpaka vyuoni.

Huyo obama wa bongo ndio wapiga mitungo wenyewe hao...

Kama yeye ni mwanamke yeye ndio wale tunawaita victims wanaopenda kufanyiwa haya
 
Kaka C.T.U the bottom line ya hii thread yako ni kuwa WANAWAKE TUJITAMBUE. Mwanamke napaswa kuitambua thamani yake kwanza kama binadamu pili kama mwanamke. Tukilitambua hili ni wazi kuwa itasaidia sana kuepuka 'mitungo ya kizembe na ile ya kujitakia' - mfano kuleweshwa kwa kuwa tu unapenda offer, kujifanya too much uzungu - kama ulivyoiweka kumingle na kila mtu hata usiyemjua vema. Pili ingawa ni vigumu kujua undani wa mwanaume anayekutokea kama kweli anakupenda kweli au anakutaka kukukomoa lakini yatupasa kuwa na subra na kumwomba MUNGU maana ukiwa ni yule wa yes kwa kila anayekutamkia neon basi hutapona. Tuwasaidie na wenetu wa kike kuwaelewesha wajitambue. Hiyo ya Martial arts, nimeanza kuifanyia kazi maana naona mbinu yangu ya kuwa natembea na tindikali inawezanipeleka segerea bure mana ishakuwa kosa la jinai
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom