Kupigwa MTUNGO/ kuliwa MANDE ni Janga kwa wanawake wa Tanzania

Kupigwa MTUNGO/ kuliwa MANDE ni Janga kwa wanawake wa Tanzania

Na mtungo huwa kwa wanawake tu au na wanaume kupigwa mande na madem zaidi ya mmoja?
 
Tena ubakaji haswaa

Lakini siku hizi si kuna hizi 3some na 4 some? zenyewe sio mtungo? Au ni mtungo wa hiari?

Mbona kama unajadili ubakaji katika lugha iliyopambwa!!!
 
Mie nimeshangaa kwa nini umegombezwa.

Sie wenye watoto tinejaz tunakuelewa, ngoja nikakae niongee naye maana anasoma kati ya shule ya bweni, afu co.

Maada yangu inakemea au inatetea huu ushetani unaouita..??

Ina maana hata mtu akipost mada ya kukemea ushoga utamwambia poor him/her kisa anajadili mada ya kishetani..??


Dah kweli Elimu ina umuhimu wake
Bora uwe masikini ila uwe umepita Darasani
 
Wenzio siku hizi wanaona fasheni wanaitaa threesome nenda blog flan hiv wanatafutaa wanaume kuanzia watatu
 
Hii tabia ilikuwa maarufu Sana kwenye shule Fulani hivi jirani za Sec Mza.Halafu mbaya zaidi ni teenagers,wenyewe walikuwa wanaiita kupiga featuring or simply feature.
 
Nadhani kuna zile za hiari (Mh sijui niiteje) yaani wanawake wanaoridhia kwa utashi wao (mie bado nawaona ni wale wasiojitambua thamani ya utu wao pengine kwa kuwa wameshakata tama ya maisha so kwao bora liende au bado hawajatambua madhara ya wakifanyacho kwao baada ya hiyo starehe ya muda mfupi). Ila kuna zile nyingine ambazo nadhani kama alivyosema kaka MESTOD kuwa ni ubakaji tu yaani hizo mtoa mada alizoziainisha za kunyweshwa pombe na kufanyiziwa au kukubaliana na mmoja kasha ukamkuta yeye kaalika wageni wengine (ambayo pia unless watumie nguvu la sivyo bado mwanamke anao uhuru wa kukataa).
 
Last edited by a moderator:
Wakuu habari zenu..

Leo naomba kuongelea swala moja hivi ambalo mie nahisi ni udhalilishaji wa mwanamke kwa kiasi kikubwa, nacho ni
MTUNGO...

MTUNGO ni hali ile ya mwanamke kufanya mapenzi zaidi ya mwanamme mmoja kwa wakati mmoja.

MTUNGO umekuwa maarufu sana hapa nchini kwanzia miaka ya 90 na umeshika kasi miaka ya 2000 na karne hii ya 21 ndio usiseme..

Najua wewe msomaji kama haujashiriki kwenye MTUNGO kwa namna moja ama nyingine kama kufanyiwa, au kufanya au kupanga kuufanya, basi rafiki yako au ndugu yako au mtu yeyote unayemjua atakuwa kapita kwenye adha hii ya MTUNGO

Vyuoni ni sehemu ambapo MTUNGO huwa unafanyika, uswahilini na mitaani haipiti wiki kama hujasikia kuwa fulani kaliwa MTUNGO na wanaume 4, mara kaliwa MTUNGO na wanaume 7

Kwa kawaida MITUNGO huanzia wanaume wawili inaenda mpaka wanaume wanane... Nadra sana kusikia MITUNGO ya wanaume kumi, ila tumezoea kusikia MITUNGO ya wanaume wawili, watatu, wanne, sita na saba

MTUNGO mara nyingi nauita ni udhalilishaji kwani inakuwa sio ridhaa ya mwanamke, utakuta mwanamke kapanga kwenda kufanya mapenzi na mwanamme mmoja kumbe yule mwanamme kaplan MTUNGO , akifika anakutana na watu wanne wanamfanyia cha kumfanyia ...

Pili wanawake wanaleweshwa, wanawekewa madawa ya kulevya halafu baada ya hapo wanafanyiwa cha kufanyiwa yaani wanapigwa MTUNGO..

Wapiga MTUNGO wanakuwa na motives zao na mara nyingi hizi motives ndio huwa zinakera na unaweza kuwaua hawa wapiga MTUNGO

Mara nyingi huwa ni
Kwanza kutaka kumkomesha msichana fulani aidha walimtongoza na amewakataa, so wanapanga plan za kumla MTUNGO ili kumkomesha. Hapa ndipo wanatumia kigezo hiki cha kumlewesha

Pili LOW SELF ESTEEM ya wanaume, kuwa wanajua hawawezi mpata msichana fulani hivyo wanamtafuta mwenzao ambaye ana uwezo wa kumpata wanamtongoza kupitia huyo jamaa unakuta msichana wa watu kampenda huyo jamaa.. Anaenda nae ku sex ndipo inakuja midomo zege na yenyewe inataka kula ... MTUNGO unatokea...

Kwa mtindo huu maambukizi ya ukimwi hayataisha

Kama nilivyosema kuwa case nyingi za mitungo hutokea ma vyuoni na haya ni maeneo ambayo case za MTUNGO zimefanyika

Mabibo hostel, IFM, CBE, UDSM,

Shule za sekondary

St Marys, St Antony, Makongo, Alpha, Green Acres na shule nyingi ambazo zina mabweni na hosteli

Maeneo ambayo cases nyingi za MTUNGO zinasikika sana ni

Sinza, Mwananyamala, Kinondoni, Magomeni, Ilala, Manzese, Temeke, Tandika, Changombe, Vingunguti, Buguruni, Manzese N.K


Kitu kinachowacost wanawake

Ni kule kuwa social kule eti am social, I talk with everybody bla bla bla..

Kupenda sana starehe na pombe za bure hili nalo ni tatizo

Kuwa mzuri sana then kuwa na pozi (hawa mie ndio naumia sana nikisikia wamepigwa MTUNGO) kwani utakuta msichana ni mzuri sana na ana pozi yes lazima awe na pozi si ni mzuri na katulia... Sasa watu wanamtegea mitego ya hapa na pale na bila kujua anaishia kupigwa MTUNGO

Kutokujua Martial Arts
Wanawake wanatakiwa wajue Martial Arts kama karate, kung fu, taekwondo.. N.k hii itasaidia kupunguza upigwaji wa MITUNGO ovyo ovyo..

Nakaribisha Hoja..
Wewe ulishawahi kufanyiwa/kufanya hiyo kitu
 
nilivyo na wivu.....halaf kaka C.T.U hzo karate atamletea nani wakati kitu cha ugoro kilikuwamo kwenye bia? Wajitokeze wanapotendwa na kuvitumia vyombo vya sheria (kama wataskilizwa)
 
Last edited by a moderator:
Nadhani kuna zile za hiari (Mh sijui niiteje) yaani wanawake wanaoridhia kwa utashi wao (mie bado nawaona ni wale wasiojitambua thamani ya utu wao pengine kwa kuwa wameshakata tama ya maisha so kwao bora liende au bado hawajatambua madhara ya wakifanyacho kwao baada ya hiyo starehe ya muda mfupi). Ila kuna zile nyingine ambazo nadhani kama alivyosema kaka MESTOD kuwa ni ubakaji tu yaani hizo mtoa mada alizoziainisha za kunyweshwa pombe na kufanyiziwa au kukubaliana na mmoja kasha ukamkuta yeye kaalika wageni wengine (ambayo pia unless watumie nguvu la sivyo bado mwanamke anao uhuru wa kukataa).

Well said
 
Last edited by a moderator:
nilivyo na wivu.....halaf kaka C.T.U hzo karate atamletea nani wakati kitu cha ugoro kilikuwamo kwenye bia? Wajitokeze wanapotendwa na kuvitumia vyombo vya sheria (kama wataskilizwa)

Hiyo ya kulazimishwa umepanga na mmoja mara wamekuja wengi wanataka kukuvamia ndio hapo itabidi utumie mwai tai na tai chi
Btw
Una wivu wa nini..??
 
Last edited by a moderator:
Na inaharibu sana wanawake kisaikolojia kiasi ya kwamba wanajiona worthless na kujikuta wanatumbukia katika UHUNI uliopitiliza,,,,


Ni kweli mie namjua mtu kutokana na kufanyiwa huo mchezo sasa hivi ni kama kafunguliwa kutoka kifungoni
 
Katika mkesha wa mwaka mpya huku mtaani kwetu 2014, kulikuwa kuna mziki eneo la wazi, mziki huru ambapo watu wa rika zote walihudhuria ili kusherekaea.
Katika tukio hilo kuna wadada watatu wafanyiziwa ile mbaya
Baada ya kubugia pombe mchanganyiko (viroba+ konyagi + bia +...) wakazima ;kutojiambua. Walikwisha tahadharishwa tangu mwanzo, si wakata "haki sawa ya kunywa".
Mmoja wao alipata fahamu baada ya mwanamume wa tatu kumaliza. Wenzake wawaili, walifanyiwa ile mbayaaaa, takribani kila mmoja wanaume zaidi ya 15, walimtumia. Mama zao walihuzunika mnooooo....waliwabiga ili hali hawajitambui. Kwa sasa wadada hao wameondoka kwa aibu.
N.B. Usipojiheshimu, hutaheshimiwa!
 
Hiyo ya kulazimishwa umepanga na mmoja mara wamekuja wengi wanataka kukuvamia ndio hapo itabidi utumie mwai tai na tai chi
Btw
Una wivu wa nini..??
yaani kitu nimeleta mimi, nakitifua halafu nikae pembeni naangalia eti unavyopump!!! aaaa wapi!!!
 
Wewe mbona watoto masaki,obey,miko,mbezi kila corner ya dunia wapigwa threesome
 
Back
Top Bottom