Kupigwa MTUNGO/ kuliwa MANDE ni Janga kwa wanawake wa Tanzania

Kupigwa MTUNGO/ kuliwa MANDE ni Janga kwa wanawake wa Tanzania

mleta mada
mimi natafuta chuo cha kujifunza kung fu
yani nijue tu kupigana niwe strong...
wajinga wajinga wanipitie mbali[emoji41]..
 
Asante kwa somo wamekusikia bila shaka
 
Sitakuja kufanya hii kitu labda nimfumanie kidume ananimegea demu wangu huyo ndio lazima aliwe kiboga mtungo
 
Show za mabeach boy hizo. Nganga ngunga kikopo, asubuhi bangi mchana nguna jioni unapitisha. Ukipata demu ukimleta maskani wahuni wanataka collabo. Kwasababu kupata manzi shida kwa tabia za kihuni.
 
Hili swala laweza kufananishwa na ubakaji ingawa kuna utofauti kidogo. Kubaka [mwanamke kuingiliwa kimwili bila ridhaa yake] na sheria zake zipo. Na mtungo[ kuingiliwa kimwili na zaidi ya mwanaume mmoja kwa muda huo huo. Awe mwanamke amekubali mwenyewe au iwe nje ya makubaliano]. In case mwanamke huyo aliyepigwa mtungo akaripoti polisi na watuhumiwa kukamatwa, case yake inakuwa developed kama ''kesi ya ubakaji''.
Kwahiyo mnaopenda hiyo michezo angalieni msije mkajikuta siku mkikabiliwa na kesi ya ubakaji. Achane kabisa hiyo tabia chafu na isiyokubalika katika jamii. Tungekuwa na sheria kama za Islamic countries, watu hao ni kukatwa viume vyao au adhabu ya kupigwa mawe hadi kufa sheinzy taip.
Hivi shenzi taipu maana yake ni nini??
 
Kuna du nilimuacha aliniomba three some, yaani mimi ntakavyotaka either yeye na rafikie niwapige wote au mimi niwe na rafiki angu au wao wawili na sisu wawili.
Siku mbili tuliachana
Alikuwa denu wako au malaya tu wa kitaani
 
Kuna du nilimuacha aliniomba three some, yaani mimi ntakavyotaka either yeye na rafikie niwapige wote au mimi niwe na rafiki angu au wao wawili na sisu wawili.
Siku mbili tuliachana
Aseee
 
Wakuu habari zenu..

Leo naomba kuongelea swala moja hivi ambalo mie nahisi ni udhalilishaji wa mwanamke kwa kiasi kikubwa, nacho ni
MTUNGO...

MTUNGO ni hali ile ya mwanamke kufanya mapenzi zaidi ya mwanamme mmoja kwa wakati mmoja.

MTUNGO umekuwa maarufu sana hapa nchini kwanzia miaka ya 90 na umeshika kasi miaka ya 2000 na karne hii ya 21 ndio usiseme..

Najua wewe msomaji kama haujashiriki kwenye MTUNGO kwa namna moja ama nyingine kama kufanyiwa, au kufanya au kupanga kuufanya, basi rafiki yako au ndugu yako au mtu yeyote unayemjua atakuwa kapita kwenye adha hii ya MTUNGO

Vyuoni ni sehemu ambapo MTUNGO huwa unafanyika, uswahilini na mitaani haipiti wiki kama hujasikia kuwa fulani kaliwa MTUNGO na wanaume 4, mara kaliwa MTUNGO na wanaume 7

Kwa kawaida MITUNGO huanzia wanaume wawili inaenda mpaka wanaume wanane... Nadra sana kusikia MITUNGO ya wanaume kumi, ila tumezoea kusikia MITUNGO ya wanaume wawili, watatu, wanne, sita na saba

MTUNGO mara nyingi nauita ni udhalilishaji kwani inakuwa sio ridhaa ya mwanamke, utakuta mwanamke kapanga kwenda kufanya mapenzi na mwanamme mmoja kumbe yule mwanamme kaplan MTUNGO , akifika anakutana na watu wanne wanamfanyia cha kumfanyia ...

Pili wanawake wanaleweshwa, wanawekewa madawa ya kulevya halafu baada ya hapo wanafanyiwa cha kufanyiwa yaani wanapigwa MTUNGO..

Wapiga MTUNGO wanakuwa na motives zao na mara nyingi hizi motives ndio huwa zinakera na unaweza kuwaua hawa wapiga MTUNGO

Mara nyingi huwa ni
Kwanza kutaka kumkomesha msichana fulani aidha walimtongoza na amewakataa, so wanapanga plan za kumla MTUNGO ili kumkomesha. Hapa ndipo wanatumia kigezo hiki cha kumlewesha

Pili LOW SELF ESTEEM ya wanaume, kuwa wanajua hawawezi mpata msichana fulani hivyo wanamtafuta mwenzao ambaye ana uwezo wa kumpata wanamtongoza kupitia huyo jamaa unakuta msichana wa watu kampenda huyo jamaa.. Anaenda nae ku sex ndipo inakuja midomo zege na yenyewe inataka kula ... MTUNGO unatokea...

Kwa mtindo huu maambukizi ya ukimwi hayataisha

Kama nilivyosema kuwa case nyingi za mitungo hutokea ma vyuoni na haya ni maeneo ambayo case za MTUNGO zimefanyika

Mabibo hostel, IFM, CBE, UDSM,

Shule za sekondary

St Marys, St Antony, Makongo, Alpha, Green Acres na shule nyingi ambazo zina mabweni na hosteli

Maeneo ambayo cases nyingi za MTUNGO zinasikika sana ni

Sinza, Mwananyamala, Kinondoni, Magomeni, Ilala, Manzese, Temeke, Tandika, Changombe, Vingunguti, Buguruni, Manzese N.K


Kitu kinachowacost wanawake

Ni kule kuwa social kule eti am social, I talk with everybody bla bla bla..

Kupenda sana starehe na pombe za bure hili nalo ni tatizo

Kuwa mzuri sana then kuwa na pozi (hawa mie ndio naumia sana nikisikia wamepigwa MTUNGO) kwani utakuta msichana ni mzuri sana na ana pozi yes lazima awe na pozi si ni mzuri na katulia... Sasa watu wanamtegea mitego ya hapa na pale na bila kujua anaishia kupigwa MTUNGO

Kutokujua Martial Arts
Wanawake wanatakiwa wajue Martial Arts kama karate, kung fu, taekwondo.. N.k hii itasaidia kupunguza upigwaji wa MITUNGO ovyo ovyo..

Nakaribisha Hoja..
Hahaha nimecheka sana
 
Back
Top Bottom