Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Panazidi kuchangamka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Whistleblower - protected character- hiyo case atashinda na atalipwa- we subiri tu utapata majibu muda si pundemawakili wa mlalamika soma vizuri basi ...yaani ni accusations sio proof
Swali kubwa why ..now? Nikama wanamnyatia hangaya.
Kwa sasa ibaki hibyo tu. Mimi huwa nagusa kiduchu tuFafanua mkuu hii paragraph ya mwisho
Kama Service Provider anayetuhumiwa ni Tigo, Mimi binafsi ninakubaliana kabisa kwa Tigo kuhusika na shutuma hizo because myself I have a worse experience with this Service Provider.Katika mashauri yaliyosikilizwa katika Mahakama ya ajira ya London, Uingereza, imeibuka taarifa kwamba kampuni ya mawasiliano ya Tigo ilihusika katika kutoa taarifa za simu za mwanasiasa maarufu wa Tanzania...
Doooooh!Kwa sasa ibaki hibyo tu. Mimi huwa nagusa kiduchu tu
Kwa mahakama ipi?Lissu awadai fidia
Wafuasi wa CDM hata siku viongozi wenu wakitoa bunduki hadharani na kuuwa, mbele ya umati. Mtasemq nyinyi ndio mliiona vizuri ilikuwa bahati mbaya tu jua lilikuwa usoni kwake akuona kashika nini kabla ya kufyatua...
Mtu mwenyewe alikuwa na kibetri unategemea ni mzima kweli lazima shoti zilikuwa zinamtuma kuua watu.mchoro wa kumuua lissu ulipangwa kibwege sana anzia kuwaondoa walinzi, kuondoa kamera, hadi kukataa kumlipia matibabu
mchora mpango alikuwa na umeme kdg kichwani, chuki kubwa mnooo na ujinga mwingi
hao watathibitisha tu ila wote tunahisi wauaji n wale wale wa msimu jana na msimu huu
Ashukuru yuko kwa kina P didy tungeshamshau saa hizi🤣🤣🤣
Vipi Mange enzi za jiwe walimshindwa nini?
mi naachana na TIGO soonKama ni kweli tigo walihusika kama ilivyoelezwa ni wkt wa kuhamasisha wananchi wote wenye line za tigo kuzitumbukiza chooni.
Issue siyo kuwasusa (boycot) huduma zao tu....Boycott Tigo now.
Na kwa sasa tigo ni mali ya Rostam kwa 100% hakuna aliye salama anayetumia line ya tigo.
Kampuni nyingi wamiliki wake ni Watu wao hao watekaji na wauaji. Get informed.Issue siyo kuwasusa (boycot) huduma zao tu....
Hii kampuni kama ilivunja sera na sheria ya usiri wa kumlinda mteja na kushirikiana na baadhi ya viongozi wahuni na majambazi ya serikali ya Magufuli na CCM ktk tendo la mauaji ya kikatili (ugaidi) kwa Tundu Lissu, basi washitakiwe na kulipa fine kubwa itakayowafilisi moja kwa moja....
Mara nyingi tumeionya serikali na viongozi wake kuanzia Rais hadi chini kuwa HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA lakini kwa sababu ni wajinga, wapumbavu kwa sababu ya kulewa madaraka chakari, wakati wa kulipia ujinga na upumbavu wao umeshafika....
Serikali ilikuwa na fursa nzuri kufuata taratibu za kisheria kumtia hatiani Tundu Lissu kama kweli alikuwa na nyendo zilizokuwa zinahatarisha usalama wa nchi....
Lakini kwa ujinga na upumbavu wa John Pombe Magufuli na watu wake wakauvaa ushetani wa kuvunja sheria kwa kuchukua njia ya mkato ya kutaka kumuua Tundu Lissu...
Na haya ya utekaji na kuua yanayoendelea sasa hapa nchini yana sura hiyo hiyo. Makampuni ya mawasiliano ya simu yanawauza wateja wao kwa baadhi ya viongozi wa serikali ya CCM - majambazi kinyume kabisa cha sheria ili wauwawe....
Hii haikubaliki hata kidogo.....
Kampuni za simu zinapaswa kujiweka kwenye safe side pale mamlaka fulani za kiserikali mf. Polisi, TISS au kiongozi yeyote limbukeni anapoitaka kampuni ku - disclose taarifa za mawasiliano ya mteja wao fulani, waambie wafuate utaratibu wa kisheria kwa kwenda mahakamani wamshitaki kwanza huyo mtu kisha mahakama ikiona kuna hoja itatoa kibali kwa kampuni ya mawasiliano ya simu ku - disclose information za mteja wao zinazotakiwa....
Lakini hii ya kutenda kijinga tu, hakika kuna siku kampuni fulani itafirisiwa na kufa kabisa kibiashara....!!
Tundu Lissu huu ni wakati wako wa kampuni ya Millicon//Tigo kukutajirisha sasa...!
Kampuni nyingi wamiliki wake ni Watu wao hao watekaji na wauaji. Get informed.