Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

Katika mashauri yaliyosikilizwa katika Mahakama ya ajira ya London, Uingereza, imeibuka taarifa kwamba kampuni ya mawasiliano ya Tigo ilihusika katika kutoa taarifa za simu za mwanasiasa maarufu wa Tanzania...
Kama Service Provider anayetuhumiwa ni Tigo, Mimi binafsi ninakubaliana kabisa kwa Tigo kuhusika na shutuma hizo because myself I have a worse experience with this Service Provider.

Katika comment zangu za siku za nyuma hapa JF niliwahi kueleza kuhusu suala hili, nakumbuka kwenye uzi wa kutekwa kwa Mwandishi wa Habari Joel Kabendera
 
Vipi Lucas Mwashambwa unabubujikwq na machozi ya huzuni au ya uoga ? Tunapiga kelele daily humu tunaonekana ni Wapinzani. Mfumo wa Serikali wa Chama tawala una mapungufu mengi sana. Tuko wengi tunalia tu hatujui tunashitaki na kulia wapi. Tunaamini malipo ni hapa hapa duniani.
 
Wafuasi wa CDM hata siku viongozi wenu wakitoa bunduki hadharani na kuuwa, mbele ya umati. Mtasemq nyinyi ndio mliiona vizuri ilikuwa bahati mbaya tu jua lilikuwa usoni kwake akuona kashika nini kabla ya kufyatua...

sasa umehamia kwa John Mnyika.

Hebu kuwa muwazi kuhusu wito wa Polisi kwa Mnyika. Je, ni wito wa kweli, au mambo ya mtandaoni?

Kuhusu Lissu hukumu nyingi zimetoka na zinaonyesha alikuwa sahihi, na Magufuli alikuwa muongo.

Na Magufuli aliamua kumuua Lissu ili kuzima sauti yake asiwaambie Watanzania ukweli.
 
mchoro wa kumuua lissu ulipangwa kibwege sana anzia kuwaondoa walinzi, kuondoa kamera, hadi kukataa kumlipia matibabu

mchora mpango alikuwa na umeme kdg kichwani, chuki kubwa mnooo na ujinga mwingi
hao watathibitisha tu ila wote tunahisi wauaji n wale wale wa msimu jana na msimu huu
Mtu mwenyewe alikuwa na kibetri unategemea ni mzima kweli lazima shoti zilikuwa zinamtuma kuua watu.
 
Boycott Tigo now.

Na kwa sasa tigo ni mali ya Rostam kwa 100% hakuna aliye salama anayetumia line ya tigo.
Issue siyo kuwasusa (boycot) huduma zao tu....

Hii kampuni kama ilivunja sera na sheria ya usiri wa kumlinda mteja na kushirikiana na baadhi ya viongozi wahuni na majambazi ya serikali ya Magufuli na CCM ktk tendo la mauaji ya kikatili (ugaidi) kwa Tundu Lissu, basi washitakiwe na kulipa fine kubwa itakayowafilisi moja kwa moja....

Mara nyingi tumeionya serikali na viongozi wake kuanzia Rais hadi chini kuwa HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA lakini kwa sababu ni wajinga, wapumbavu kwa sababu ya kulewa madaraka chakari, wakati wa kulipia ujinga na upumbavu wao umeshafika....

Serikali ilikuwa na fursa nzuri kufuata taratibu za kisheria kumtia hatiani Tundu Lissu kama kweli alikuwa na nyendo zilizokuwa zinahatarisha usalama wa nchi....

Lakini kwa ujinga na upumbavu wa John Pombe Magufuli na watu wake wakauvaa ushetani wa kuvunja sheria kwa kuchukua njia ya mkato ya kutaka kumuua huyu mwamba bila hata kujua kuwa jamaa ni immortal...

Na huu utekaji na mauaji yanayoendelea sasa hapa nchini yana sura hii hii na mtindo na style ni hii hii....

Haya Makampuni ya mawasiliano ya simu ususani Vodacom na Tigo ni washiriki wa unyama kwa namna ya kuwauza wateja wao kwa baadhi ya viongozi wa serikali ya CCM, majambazi na magaidi kinyume kabisa cha sheria ili wauwawe....

Hii haikubaliki hata kidogo.....

Kampuni za simu zinapaswa kujiweka kwenye safe side pale mamlaka fulani za kiserikali mf. Polisi, TISS au kiongozi yeyote limbukeni anapoitaka kampuni ku - disclose taarifa za mawasiliano ya mteja wao fulani, waambie wafuate utaratibu wa kisheria kwa kwenda mahakamani wamshitaki kwanza huyo mtu kisha mahakama ikiona kuna hoja itatoa kibali kwa kampuni ya mawasiliano ya simu ku - disclose information za mteja wao zinazotakiwa....

Lakini hii ya kutenda kijinga tu, hakika kuna siku kampuni fulani itafirisiwa na kufa kabisa kibiashara....!!

Tundu Lissu huu ni wakati wako wa kampuni ya Millicon//Tigo kukutajirisha sasa...!
 
Issue siyo kuwasusa (boycot) huduma zao tu....

Hii kampuni kama ilivunja sera na sheria ya usiri wa kumlinda mteja na kushirikiana na baadhi ya viongozi wahuni na majambazi ya serikali ya Magufuli na CCM ktk tendo la mauaji ya kikatili (ugaidi) kwa Tundu Lissu, basi washitakiwe na kulipa fine kubwa itakayowafilisi moja kwa moja....

Mara nyingi tumeionya serikali na viongozi wake kuanzia Rais hadi chini kuwa HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA lakini kwa sababu ni wajinga, wapumbavu kwa sababu ya kulewa madaraka chakari, wakati wa kulipia ujinga na upumbavu wao umeshafika....

Serikali ilikuwa na fursa nzuri kufuata taratibu za kisheria kumtia hatiani Tundu Lissu kama kweli alikuwa na nyendo zilizokuwa zinahatarisha usalama wa nchi....

Lakini kwa ujinga na upumbavu wa John Pombe Magufuli na watu wake wakauvaa ushetani wa kuvunja sheria kwa kuchukua njia ya mkato ya kutaka kumuua Tundu Lissu...

Na haya ya utekaji na kuua yanayoendelea sasa hapa nchini yana sura hiyo hiyo. Makampuni ya mawasiliano ya simu yanawauza wateja wao kwa baadhi ya viongozi wa serikali ya CCM - majambazi kinyume kabisa cha sheria ili wauwawe....

Hii haikubaliki hata kidogo.....

Kampuni za simu zinapaswa kujiweka kwenye safe side pale mamlaka fulani za kiserikali mf. Polisi, TISS au kiongozi yeyote limbukeni anapoitaka kampuni ku - disclose taarifa za mawasiliano ya mteja wao fulani, waambie wafuate utaratibu wa kisheria kwa kwenda mahakamani wamshitaki kwanza huyo mtu kisha mahakama ikiona kuna hoja itatoa kibali kwa kampuni ya mawasiliano ya simu ku - disclose information za mteja wao zinazotakiwa....

Lakini hii ya kutenda kijinga tu, hakika kuna siku kampuni fulani itafirisiwa na kufa kabisa kibiashara....!!

Tundu Lissu huu ni wakati wako wa kampuni ya Millicon//Tigo kukutajirisha sasa...!
Kampuni nyingi wamiliki wake ni Watu wao hao watekaji na wauaji. Get informed.
 
Kampuni nyingi wamiliki wake ni Watu wao hao watekaji na wauaji. Get informed.

I know...

Kwamba wengi wa viongozi wa serikali hii pamoja na serikali yenyewe ina hisa ktk makampuni haya na hivyo kuwa sehemu ya wamiliki wa hizi telecommunication companies....

If that is the case, then it's obvious that wana wafanyakazi wao mapandikizi ambao sio waaminifu na hao ndiyo huvujisha information za wateja wanaotafutwa kuuwawa na wabaya wao....

Bila shaka hawa wafanyakazi waliopandikizwa na serikali au na baadhi ya hawa viongozi wa serikali "wasiojulikana" lakini ni watekaji na wauaji hawa ndio hu - disclose information za wateja targeted na wauaji bila ridhaa ya kampuni kwa ujumla wake....

Kama ndiyo hivi, basi ni jukumu la makampuni haya kuzi - secure information za wateja ktk namna ambayo ni ngumu na pengine isiwezekane kabisa kwa mtu mmoja au wawili kuzichokonoa na kuzigawa....

So, don't worry. I know that already....
 
Back
Top Bottom