Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kwa hiyo waliuza kwa sababu ya hilo saga?Kwa upeo wangu mdogo nadhani kilichofanyika ni kutaka kuiumbua serikali baada ya ile mikwara mbuzi ya Chura kiziwi.
Tigo hana kesi maana Mabeberu wako mbele ya Muda. Kampuni ya Millcom alishajiongeza muda akauza mtandao wa Tigo Kwa Rostam Aziz na huenda hata hawakumuuzia bali waliingia kati na Rostam wakasajili kampuni nyingine Rostam akakaa front kama mmiliki. Akili ni mia.
Ukienda mahakamani huwakuti.
Hao wapuuzi wako mbele ya muda.