komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Usichokijua ni kwamba "JIKONO JANDAMA" alikuwa "anatrepu" simu za lissu na alisema mwenyewe.
Usichokijua tu ni kwamba Nzirankende alikuwa anapata SMS/Calls na kusikiliza na kusoma sms za watu aliokuwa anatrace yeye...Ndiyo maana voice call za Membe(M.A.P) ,Kinana na meseji za makatibu/mawaziri wanagombana alikuwa nazo.kiju
Hutakwepa mawasiliano ya simu. Tumia kwa wema, uwazi, ukweli, uzalendo, kifamilia, kijamii, kitaifa, kimataifa, KIROHO ila ukijichanganya tu. Tutakuimbia niagieni. Dunia hii huna pa kukimbilia labda unyooke kitabia tu. Hasa nchi zetu za kiafrica za Giza na uonevu , mbabe na mwenye nguvu fulani anaweza kuamua lolote juu yako. Mashuhuda/majirani tutasonya, tutakasirika, tutalaumu, tutalia, kisha, tunasahau na maisha yanasonga.Kama ni tushauriane ni mawasiliano yapi yatakuwa salama kwetu maana hatupo salama kwa namna hii ya tunaotumia mawasiliano yao kutuuza kwa watu wabaya.