Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

Usichokijua ni kwamba "JIKONO JANDAMA" alikuwa "anatrepu" simu za lissu na alisema mwenyewe.

Usichokijua tu ni kwamba Nzirankende alikuwa anapata SMS/Calls na kusikiliza na kusoma sms za watu aliokuwa anatrace yeye...Ndiyo maana voice call za Membe(M.A.P) ,Kinana na meseji za makatibu/mawaziri wanagombana alikuwa nazo.kiju

Kama ni tushauriane ni mawasiliano yapi yatakuwa salama kwetu maana hatupo salama kwa namna hii ya tunaotumia mawasiliano yao kutuuza kwa watu wabaya.
Hutakwepa mawasiliano ya simu. Tumia kwa wema, uwazi, ukweli, uzalendo, kifamilia, kijamii, kitaifa, kimataifa, KIROHO ila ukijichanganya tu. Tutakuimbia niagieni. Dunia hii huna pa kukimbilia labda unyooke kitabia tu. Hasa nchi zetu za kiafrica za Giza na uonevu , mbabe na mwenye nguvu fulani anaweza kuamua lolote juu yako. Mashuhuda/majirani tutasonya, tutakasirika, tutalaumu, tutalia, kisha, tunasahau na maisha yanasonga.
 
Sasa ni rasmi kete hizi zinasogezwa pole pole kumuondoa mkojani FC mchezoni has 2025!!

Hai jamaa Wana akili sana!
 
Tupa laini tupa simu tumia njia ya barua kupitia kwa mtu kwenda kwa mtu ukiweza nenda mwenyewe ukamfuate usipige simu usitembee na simu haupo salama
Kwa njia hiyo biashara tutafanya je kwa kutumia barua? Si tutafute makampuni ya mawasiliano yaliyo na weledi kwa faragha za wateja ndio tutumie mawasiliano yao?
 
Swali la msingi.

Je ni taarifa za watu wangapi wanaotumia mtandao huu zimevujishwa kwa siri bila ya ridhaa ya watumiaji?
 
Kwa njia hiyo biashara tutafanya je kwa kutumia barua? Si tutafute makampuni ya mawasiliano yaliyo na weledi kwa faragha za wateja ndio tutumie mawasiliano yao?
Nenda mwenyewe usitumie simu
 
GYTBaXYW4AAq3QA.jpeg


Hali halisi ya kampuni ya TIGO
 
Ila hawa jamaa wa Tigo hii kitu inawezekana ni kweli, Mwaka jana may nilipatwa na kamsala flani ivi ambako actually sikua guilty na hio kesi. ila kuna namna polisi walinikosa kwa njia zote za kawaida wakaamua kupitia hawa jamaa, na hawa jamaa kwa urahisi kabisa walitoa taarifa zangu za namba nyingine nilizokua namiliki zilizoko active ndio askari wapelelezi wakanipata. Anyways haikua rahisi ile kesi kuisha ila nilijifunza kitu kuhusu usalama wa taarifa zetu kwenye mitandao ya simu. Ova
 
Hiyo kesi nani kafungua UK? Namaanisha nani mlalamikaji na nani mshtakiwa?

Sema Kwa hizi nchi zetu itaishia danadana tu Kisha upepo utatulua, lakini si haba ukweli umejulikana na itakua pigo kibiashara Kwa hii kampuni. Nimekumbuka mambo ya GPO yalivyoendeshwa na hatima yake.

Nnachofahamu, kama ingekua Kuna shauri linaendelea mahakamani na kukawa na haja ya kupata mawasiliano, Kuna taratibu za kufuatwa sio aina hii iliyotumika.
 
Tigo nao wanasemaje??

Hizo taarifa zilivujishwa zikatumwa kwa nani? Isiwe zilitumwa kwa mtu tu then ikatajwa serikali. Inawezekana mtu mmoja ametumia madaraka yake vibaya lakini kwenye utambulisho/fikra zetu tukasema serikali. Ni vyema ingeelezwa nan alikuwa anapokea taarifa ili nae aseme aliagizwa na mamlaka za serikali au utashi wake
.......( kuna mtu mmoja yupo anapiga kerere,....tume mtrap na kupata print out ...anapiga simu kwa furanii..
Nipe data hii ...sisi tunajua cha kufanya ..huwezi kuwa msaliti ukasurvive....)
 
Usichokijua ni kwamba "JIKONO JANDAMA" alikuwa "anatrepu" simu za lissu na alisema mwenyewe.

Usichokijua tu ni kwamba Nzirankende alikuwa anapata SMS/Calls na kusikiliza na kusoma sms za watu aliokuwa anatrace yeye...Ndiyo maana voice call za Membe(M.A.P) ,Kinana na meseji za makatibu/mawaziri wanagombana alikuwa nazo.
Alipokuwa anasema Mimi silali mpaka SAA 8 usiku niko macho....
Kuna bwana mmoja aliniambia huyu anadukua kila mtu ,anasikiliza wenzake wote wanachofanya ...

Alichokosea ni kidukua baadhi ya wafanyabiashara miamala..na kuomba kujua salio bank ...hapo alinogea na kamchezo wa tugawane (plea bargain)

Nilikataa mwanzoni ...ila kumbe ndio ulikuwa mtindo na mazoea yake
 
Dh! Wasiojulikana wanaanza kujulikana Kwa vyeo na majina
 
an attempted political assassination and an act of terrorism,”

Mambo hayo, jinai haifi jeshi la Polisi la Tanzania litafute hawa watu wasioljulikana lakini wanafahamika.

Hawa watu wanafahamika na wakamatwe mara moja na kufikishwa katika vyombo vya sheria ili haki itendeke na pia awamu ya 6 ijisafishe na kundi hili liloanzishwa ktk awamu ya 5.


Wahusika wamekuwa wapole baada ya kwenda likizo bila kuaga, na kurejea kazini kutoka kikao kirefu cha kujadili haya mapya ya kampuni ya nchi ya kibeberu ambapo siri hakuna.
 
CCM hii episode inayoanza kimataifa, fahamuni ndo mwanzo wa mwisho wenu.

Ogopa teknolojia. Mnanunua mamitambo ya kutrack raia kisha mnawaumiza na kuwaua mkidhani siri hiyo mtakaa nayo milele.

Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu soon itakuwa na very interesting case.

Screenshot_20240925_110619_X.jpg


20240925_110655.jpg


20240925_110700.jpg


20240925_110704.jpg


20240925_110707.jpg


Kuwekwa hadharani taarifa hii ni hatua za awali za kuizika kabisa CCM na washirika wake ndani ya serikali dhalimu

Msiseme sikuwaambia
 
Back
Top Bottom