Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

Hapana,Tigo makao makuu yao Africa yalikuwa London,huyu alikuwa anafanya kazi London
Kuna maswali machache hapa.

Huyo mfanyakazi kwanini alikuwa na interest na hiyo issue ya lissu pekee??

Na ndio imemfanya afukuzwe kazi.

Hili swala ni gumu na linaweza zua mgogoro wa kidiplomasia ,

Maana kuna uwezekano mkubwa kwa ushiriki wa nchi flani kwenye hilo tukio
 
Sisi wafanyakazi wa tiGO tulioajiriwa tuna makosa ?
 
Wahusika ndo watashughulikiwa.

Mpaka leo makampuni ya simu yanashiriki kuwaweka rehani watumiaji wao kwa kufuhusu mawasiliano yao kuingiliwa na vyombo vya dola
Nikuulize swali mkuu
 
CCM hii episode inayoanza kimataifa, fahamuni ndo mwanzo wa mwisho wenu.

Ogopa teknolojia. Mnanunua mamitambo ya kutrack raia kisha mnawaumiza na kuwaua mkidhani siri hiyo mtakaa nayo milele.

Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu soon itakuwa na very interesting case.

View attachment 3106133

View attachment 3106134

View attachment 3106136

View attachment 3106137

View attachment 3106138

Kuwekwa hadharani taarifa hii ni hatua za awali za kuizika kabisa CCM na washirika wake ndani ya serikali dhalimu

Msiseme sikuwaambia
Duuuh
 
Kwa nchi hii hii ambayo imejaa ushabiki wa Simba na Yanga?
Kitaeleweka bro, mapinduzi, revolution hufsnywa na watu wakawaida,
Kasome revolution ya Cuba, wafanyakazi, ma tajiri, Vita ilupoanza dhidi ya Batista, wao walipanda ndege na kukimbia nchi, msomi mmoja, mwanasheria, kutoka familia Bora, Castro, aliwaunganisha maskini wa vijijini, wakulima, wakapigsna na Jeshi LA Dikiteta,
 
Kwamba hao wazungu wataifanya nini CCM?

Chadema ina watu wajinga sana.
 
Kwa nchi hii hii ambayo imejaa ushabiki wa Simba na Yanga?
Aisee hapa kijiweni, stori nzima ni Simba Vs Azam hamna kitu kingine sijui tumerogwa mimi mwenyewe nilikuwa na stori nyingine ila ndio nimeshaingia kwenye mfumo 🐼
 
CCM hii episode inayoanza kimataifa, fahamuni ndo mwanzo wa mwisho wenu.

Ogopa teknolojia. Mnanunua mamitambo ya kutrack raia kisha mnawaumiza na kuwaua mkidhani siri hiyo mtakaa nayo milele.

Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu soon itakuwa na very interesting case.

View attachment 3106133

View attachment 3106134

View attachment 3106136

View attachment 3106137

View attachment 3106138

Kuwekwa hadharani taarifa hii ni hatua za awali za kuizika kabisa CCM na washirika wake ndani ya serikali dhalimu

Msiseme sikuwaambia

1. CIA - Shirika la kijasusi la Marekani.
2.Mossad - Shirika la kijasusi la Israel.
3. M16 - Shirika la kijasusi la Uingereza.
4. KGB - Shirika la kijasusi la Urusi.
5. ISI - Shirika la kijasusi la Pakstani.
Usijichanganye nayo pamoja na tofauti zao huwa yanabadilishana taarifa. Muulize Yericko Nyerere.
 
Kwamba hao wazungu wataifanya nini CCM?

Chadema ina watu wajinga sana.
Mi nashangaaga ambapo mtu anawabeza wafadhili wa uchaguzi na miradi mbalimbali ya nchi,wakati anawategemea.
Niliwahiambiwa kua anaponyata malaika,mpumbavu hutembea kwa kishindo.
 
Hizo kampuni zinazotoa taarifa sio za watu wanaotafutwa tu bali kemeeni na muwafungulie mashtaka pia wanaotoa namba au hu hack mpaka watu wanaibiwa hela zao maana ni insiders ndio wanafanya haya
Makampuni hayapigwi faini yapo tu
Wanawaibia masikini kila uchwao mpo kimya tu mpaka mzungu aongee
 
Wahusika ndo watashughulikiwa.

Mpaka leo makampuni ya simu yanashiriki kuwaweka rehani watumiaji wao kwa kufuhusu mawasiliano yao kuingiliwa na vyombo vya dola
Ni nchi gani duniani ambako makampuni hayatoi mawasiliano yanayohitajika na serikali?

Haya ndo madhara ya kudandia vitu bila kushirikisha akili.
 
Duu hapa nimekubali pale USA walipompiga ban Bashite walikuwa na Ushahidi Wote

Ndiyo maana alikwenda likizo fiche bila kuaga, akaelezewa mambo yamewekwa hadharani huko London sasa tufanyaje wewe ulikuwa kiongozi wa ile team wakati wa mwendazake ?

Toka maktaba:

RAS AULIZWA KUHUSU ALIPO RC, MI SIJUI CHOCHOTE ALIPO RC SASA....

View: https://m.youtube.com/watch?v=TlFS18RhTIA
 
Back
Top Bottom