Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Angalia mahali taarifa ilipovujia.Kwa nchi hii hii ambayo imejaa ushabiki wa Simba na Yanga?
Wanajua umbumbumbu wa Wabongo. Sasa ngoma inachezwa ugenini hadi wateme bungo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia mahali taarifa ilipovujia.Kwa nchi hii hii ambayo imejaa ushabiki wa Simba na Yanga?
Kuna maswali machache hapa.Hapana,Tigo makao makuu yao Africa yalikuwa London,huyu alikuwa anafanya kazi London
Wahusika ndo watashughulikiwa.Sisi wafanyakazi wa tiGO tulioajiriwa tuna makosa ?
Nikuulize swali mkuuWahusika ndo watashughulikiwa.
Mpaka leo makampuni ya simu yanashiriki kuwaweka rehani watumiaji wao kwa kufuhusu mawasiliano yao kuingiliwa na vyombo vya dola
DuuuhCCM hii episode inayoanza kimataifa, fahamuni ndo mwanzo wa mwisho wenu.
Ogopa teknolojia. Mnanunua mamitambo ya kutrack raia kisha mnawaumiza na kuwaua mkidhani siri hiyo mtakaa nayo milele.
Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu soon itakuwa na very interesting case.
View attachment 3106133
View attachment 3106134
View attachment 3106136
View attachment 3106137
View attachment 3106138
Kuwekwa hadharani taarifa hii ni hatua za awali za kuizika kabisa CCM na washirika wake ndani ya serikali dhalimu
Msiseme sikuwaambia
Kitaeleweka bro, mapinduzi, revolution hufsnywa na watu wakawaida,Kwa nchi hii hii ambayo imejaa ushabiki wa Simba na Yanga?
Mmiliki ajipangeSisi wafanyakazi wa tiGO tulioajiriwa tuna makosa ?
Aisee hapa kijiweni, stori nzima ni Simba Vs Azam hamna kitu kingine sijui tumerogwa mimi mwenyewe nilikuwa na stori nyingine ila ndio nimeshaingia kwenye mfumo 🐼Kwa nchi hii hii ambayo imejaa ushabiki wa Simba na Yanga?
CCM hii episode inayoanza kimataifa, fahamuni ndo mwanzo wa mwisho wenu.
Ogopa teknolojia. Mnanunua mamitambo ya kutrack raia kisha mnawaumiza na kuwaua mkidhani siri hiyo mtakaa nayo milele.
Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu soon itakuwa na very interesting case.
View attachment 3106133
View attachment 3106134
View attachment 3106136
View attachment 3106137
View attachment 3106138
Kuwekwa hadharani taarifa hii ni hatua za awali za kuizika kabisa CCM na washirika wake ndani ya serikali dhalimu
Msiseme sikuwaambia
Mi nashangaaga ambapo mtu anawabeza wafadhili wa uchaguzi na miradi mbalimbali ya nchi,wakati anawategemea.Kwamba hao wazungu wataifanya nini CCM?
Chadema ina watu wajinga sana.
Kwamba mkuu unawaza ccm ni wakubwa na wajanja kuliko wazungu?Kwamba hao wazungu wataifanya nini CCM?
Chadema ina watu wajinga sana.
Uliza mkuuNikuulize swali mkuu
Ni nchi gani duniani ambako makampuni hayatoi mawasiliano yanayohitajika na serikali?Wahusika ndo watashughulikiwa.
Mpaka leo makampuni ya simu yanashiriki kuwaweka rehani watumiaji wao kwa kufuhusu mawasiliano yao kuingiliwa na vyombo vya dola
Duu hapa nimekubali pale USA walipompiga ban Bashite walikuwa na Ushahidi Wote