Atakuwa chizi wa CCM anatafuta jinsi ya kuiteteaWewe hujasoma story unatoa maoni mfu tu.
AU LA HUJUI KUSOMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa chizi wa CCM anatafuta jinsi ya kuiteteaWewe hujasoma story unatoa maoni mfu tu.
AU LA HUJUI KUSOMA
Haya ndio madhara ya irresponsible statements za Lissu on his blind followers...Huenda TIGO imeshiriki ktk kudukua wengine wengi zaidi ya Tundu Lissu.
..Nina wasiwasi huenda Mzee Kinana na wenzake walidukuliwa na kampuni hii hii.
..Na huenda waliopotezwa kama Ben Saanane na wenyewe walidukuliwa na TIGO.
..Huenda TIGO ina damu za ndugu zetu wengi.
Hiyo ni namna unavyofikiri kwa wengi ujumbe umefika na kwa taarifa yako tayari nimeshaitupa sim card ya Tigo.Haya ndio madhara ya irresponsible statements za Lissu on his blind followers.
Unaaribu biashara za watu kwa statement za kipuuzi tu, ambazo hana details on what transpired. Pamoja na kuongeza chumvi zake contrary to the article.
Wafuasi wa CDM mnashida sana.
Haya ndio madhara ya irresponsible statements za Lissu on his blind followers.
Unaaribu biashara za watu kwa statement za kipuuzi tu, ambazo hana details on what transpired. Pamoja na kuongeza chumvi zake contrary to the article.
Wafuasi wa CDM mnashida sana.
Nasikia hii Kampuni ya Tigo kwa sasa ni ya Rostam ???! Au ??!Kama ni kweli tigo walihusika kama ilivyoelezwa ni wkt wa kuhamasisha wananchi wote wenye line za tigo kuzitumbukiza chooni.
Duh 🙄 !Hiyo ni namna unavyofikiri kwa wengi ujumbe umefika na kwa taarifa yako tayari nimeshaitupa sim card ya Tigo.
Everything is happening for a reason !..kwani Lissu ndiye aliyewashitaki TIGO?
..Si wameshitakiwa na mtumishi wao wa Kizungu waliyemuachisha kazi?
..Nadhani TIGO watakuwa wanalaumiana wenyewe kwa wenyewe.
..Huyo bwana asingefukuzwa kazi hii habari isingejulikana, na isingefika mahakamani.
Everything is happening for a reason !
Mimi nani nikuamulie cha kufanya.Hiyo ni namna unavyofikiri kwa wengi ujumbe umefika na kwa taarifa yako tayari nimeshaitupa sim card ya Tigo.
Nimeshaitupa line ya Tigo full stop ✋️Mimi nani nikuamulie cha kufanya.
Tatizo ni kwamba ukusoma article kuelewa msingi wa dispute ya mzungu na Miłlicom services U.K. LTD na malalamiko ya unfair dismissal.
Lissu kaweka mambo yake ambayo hayapo kabisa kuilaumu TiGO kutokana na frustration zake.
Sasa mie sio msemaji wa TiGO au mshauri wa maamuzi yako.
Iła embu tujaribu kusikiliza vitu in details na kufanya maamuzi based on informed knowledge, kuliko kuburuzwa na hisia za watu.
Mimi nani nikuamulie cha kufanya.
Tatizo ni kwamba ukusoma article kuelewa msingi wa dispute ya mzungu na Miłlicom services U.K. LTD na malalamiko ya unfair dismissal.
Lissu kaweka mambo yake ambayo hayapo kabisa kuilaumu TiGO kutokana na frustration zake.
Sasa mie sio msemaji wa TiGO au mshauri wa maamuzi yako.
Iła embu tujaribu kusikiliza vitu in details na kufanya maamuzi based on informed knowledge, kuliko kuburuzwa na hisia za watu.
I am not in charge of your decision; if it suits you. That’s the right decision.Nimeshaitupa line ya Tigo full stop ✋️
I am not in charge of your decision; if it suits you. That’s the right decision.
Unataka vijana tuwe jobless sio auKama ni kweli tigo walihusika kama ilivyoelezwa ni wkt wa kuhamasisha wananchi wote wenye line za tigo kuzitumbukiza chooni.
TiGO haiwezi dukua mteja wake hizo info wanazo automatically...Umekosea.
..aliyemchomeka Lissu ktk suala hili ni aliyepata kuwa mtumishi wa Millicom.
..mtumishi huyo wa Millicom ndiye aliyedai, chini ya kiapo, mahakamani, kwamba Tigo "walimdukua" Tundu Lissu.
TiGO haiwezi dukua mteja wake hizo info wanazo automatically.
Alichosema yeye ni kwamba serikali ilitaka kupewa info za mteja (Lissu), swala ambalo yeye anadhani ni unethical (whilst ignoring Tanzanian laws, and the pressure duress) which the management was under.
Mkuu you are better than that yaani TiGO wangetoa tu communication za Lissu bila ya shuruti, get serious.
Kiongozi unaniangusha kwa hivyo TiGO wataenda mahakamani na kuzungumza hata mambo yasiyo wahusu...ikionekana kwamba Tigo walitoa taarifa za watu waliotekwa, na kupotea, itakuwa scandal mbaya sana.
Kiongozi unaniangusha kwa hivyo TiGO wataenda mahakamani na kuzungumza hata mambo yasiyo wahusu.
Hao wengine si inasemekana walipigiwa na polisi, sasa kampuni ya simu inahusika vipi wakati wengine wafuasi wa CDM uwa mna mambo ya kitoto.