Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

..Huenda TIGO imeshiriki ktk kudukua wengine wengi zaidi ya Tundu Lissu.

..Nina wasiwasi huenda Mzee Kinana na wenzake walidukuliwa na kampuni hii hii.

..Na huenda waliopotezwa kama Ben Saanane na wenyewe walidukuliwa na TIGO.

..Huenda TIGO ina damu za ndugu zetu wengi.
 
Haya ndio madhara ya irresponsible statements za Lissu on his blind followers.

Unaaribu biashara za watu kwa statement za kipuuzi tu, ambazo hana details on what actuallly transpired. Pamoja na kuongeza chumvi zake contrary to the article.

Wafuasi wa CDM mnashida sana.
 
Haya ndio madhara ya irresponsible statements za Lissu on his blind followers.

Unaaribu biashara za watu kwa statement za kipuuzi tu, ambazo hana details on what transpired. Pamoja na kuongeza chumvi zake contrary to the article.

Wafuasi wa CDM mnashida sana.
Hiyo ni namna unavyofikiri kwa wengi ujumbe umefika na kwa taarifa yako tayari nimeshaitupa sim card ya Tigo.
 
..kwani Lissu ndiye aliyewashitaki TIGO?

..Si wameshitakiwa na mtumishi wao wa Kizungu waliyemuachisha kazi?

..Nadhani TIGO watakuwa wanalaumiana wenyewe kwa wenyewe.

..Huyo bwana asingefukuzwa kazi hii habari isingejulikana, na isingefika mahakamani.
 
Everything is happening for a reason !
 
Hiyo ni namna unavyofikiri kwa wengi ujumbe umefika na kwa taarifa yako tayari nimeshaitupa sim card ya Tigo.
Mimi nani nikuamulie cha kufanya.

Tatizo ni kwamba ukusoma article kuelewa msingi wa dispute ya mzungu na Miłlicom services U.K. LTD na malalamiko ya unfair dismissal.

Lissu kaweka mambo yake ambayo hayapo kabisa kuilaumu TiGO kutokana na frustration zake.

Sasa mie sio msemaji wa TiGO au mshauri wa maamuzi yako.

Iła embu tujaribu kusikiliza vitu in details na kufanya maamuzi based on informed knowledge, kuliko kuburuzwa na hisia za watu.
 
Nimeshaitupa line ya Tigo full stop ✋️
 
..Umekosea.

..aliyemchomeka Lissu ktk suala hili ni aliyepata kuwa mtumishi wa Millicom.

..mtumishi huyo wa Millicom ndiye aliyedai, chini ya kiapo, mahakamani, kwamba Tigo "walimdukua" Tundu Lissu.
 
Mungu kweli fundi!

Shetani Bashite alaaniwe na CCM yake.

GOD BLESS TANGANYIKA .
 
..Umekosea.

..aliyemchomeka Lissu ktk suala hili ni aliyepata kuwa mtumishi wa Millicom.

..mtumishi huyo wa Millicom ndiye aliyedai, chini ya kiapo, mahakamani, kwamba Tigo "walimdukua" Tundu Lissu.
TiGO haiwezi dukua mteja wake hizo info wanazo automatically.

Alichosema yeye ni kwamba serikali ilitaka kupewa info za mteja (Lissu), swala ambalo yeye anadhani ni unethical (whilst ignoring Tanzanian laws, and the pressure duress) which the management was under.

Mkuu you are better than that yaani TiGO wangetoa tu communication za Lissu bila ya shuruti, get serious.
 
..mbona bosi wetu Maxence Melo alikataa kutoa taarifa za wana JF kwa serikali? yaani TIGO wanashindwa hata na Maxence Melo wa JF ktk kulinda taarifa za wateja wao? Wacha walaumiwe kwa UGAIDI.
 
..ikionekana kwamba Tigo walitoa taarifa za watu waliotekwa, na kupotea, itakuwa scandal mbaya sana.
Kiongozi unaniangusha kwa hivyo TiGO wataenda mahakamani na kuzungumza hata mambo yasiyo wahusu.

Hao wengine si inasemekana walipigiwa na polisi, sasa kampuni ya simu inahusika vipi wakati wengine wafuasi wa CDM uwa mna mambo ya kitoto.
 
..Zaidi ya Tundu Lissu, Tigo waliotoa taarifa za nani mwingine kwa serikali?

..Je, ni vibaya kufahamu kama Tigo walitoa taarifa za watu waliopotea au kutekwa kama Ben Saanane, Azory Gwanda, Roma Mkatoliki, etc etc?
 
Back
Top Bottom