Kupima ni ishu nyie

Kupima ni ishu nyie

Hongera sana,weka utaratibu wa kupima kila mara kama unajiamini,lakini kama hujiamini sikushauri,utakuwa unakaribisha maradhi ya pressure kwenye mwili wako...
 
Hongera sana,weka utaratibu wa kupima kila mara kama unajiamini,lakini kama hujiamini sikushauri,utakuwa unakaribisha maradhi ya pressure kwenye mwili wako...
Sipimi tena hapa
 
Mimi nimeshaenda zaidi ya mara 100 kupima ila sijawahi kuchukua majibu!! Sitaki kufa kwa pressure kabla ya siku zangu za kuishi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] majibu hutaki,kwa nini unaendelea kupima?
 
Hakuna VVU, haya magonjwa mengine ni biashara tu hizi, na zinaingiza pesa kama madawa ya kulevya
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] majibu hutaki,kwa nini unaendelea kupima?

Naenda kupima ili kujua afya yangu, kasheshe ni kwenye majibu! Uzalendo wa kusubiria majibu huwa unanishinda!
 
Toka jana najisikia vibaya ,mara kizunguzungu,,yaan nikawa hovyo hovyo tu,leo nikaona niende nikapime hakuna namna ,,kufika hospital nikamuelezea dokta navyoumwa ,akaniambia nikapime maralia,UTI na typhoid na frp

Nikaenda kupina maabara,,kule maabara nikamuambia yule wa maabara anipime na HiV ,akaniambia uende kule kwenye chumba maalumu cha kupimia HIV tu ,nikamuambia sitaki ushauri mimi unipime tu ahahahaha au nipe kipimo ntajipima mwenyewe.
Akanikubalia kunipima mwenyewe baadae majibu yanatoka sina maralia,UTI, nna typhoid ila sio kali sana

Baadae yule wa maabara akaniita nikachukue majibu ya ngoma,aisee sikuwa na wasiwasi kivile lakini ka moyo kalienda kasi kidogo nikasema liwalo na liwe tu ,,akaniambia hongera upo safi endelea kujilinda
View attachment 691046
Kipimo hicho ,,ila kupima ni kazi halaf unajua tiba hakuna mi nna muda miaka miwili sijapima kabisa,ndio leo nimepima nashangaa safari hii sijaogopa sana kiukweli mara zingine nilikua naogopa mpaka mkojo. unagonga chupi.sipimi tenaa ahahah
Nimepima nna safari zangu nikikamilisha tu nasepa,sitaki nianze hofu ya kuanza kuogopa majibu huko

Wasalaam
hongera
 
Back
Top Bottom