NAREI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 1,730
- 1,660
Hasa hasa nyembe [emoji3] [emoji3]Yawezekana tumeshare vitu vyenye 'Ncha kali'!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasa hasa nyembe [emoji3] [emoji3]Yawezekana tumeshare vitu vyenye 'Ncha kali'!
Au hata visuHasa hasa nyembe [emoji3] [emoji3]
Twende leoTwende tukapime
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwambie atumie kile kipimo kingine, Unakosaje Ngoma wewe??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] majibu hutaki,kwa nini unaendelea kupima?Mimi nimeshaenda zaidi ya mara 100 kupima ila sijawahi kuchukua majibu!! Sitaki kufa kwa pressure kabla ya siku zangu za kuishi...
Hii mbinu inatumiwa na wanaume wengiHuwa namtumia mke wangu akipata mimba watampima wakimkuta salama najua na mimi nipo safe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] majibu hutaki,kwa nini unaendelea kupima?
basi papuch yako itakuwa ya ajabu kutokeaTofauti tofauti tu,,huwa sichezi game za kukesha,kidogo tu inatosha
Nimesimama mlangoni hapa,Nifungulie niingie pekeyangu then funga tenaPm imefungwa kitambo
hongeraToka jana najisikia vibaya ,mara kizunguzungu,,yaan nikawa hovyo hovyo tu,leo nikaona niende nikapime hakuna namna ,,kufika hospital nikamuelezea dokta navyoumwa ,akaniambia nikapime maralia,UTI na typhoid na frp
Nikaenda kupina maabara,,kule maabara nikamuambia yule wa maabara anipime na HiV ,akaniambia uende kule kwenye chumba maalumu cha kupimia HIV tu ,nikamuambia sitaki ushauri mimi unipime tu ahahahaha au nipe kipimo ntajipima mwenyewe.
Akanikubalia kunipima mwenyewe baadae majibu yanatoka sina maralia,UTI, nna typhoid ila sio kali sana
Baadae yule wa maabara akaniita nikachukue majibu ya ngoma,aisee sikuwa na wasiwasi kivile lakini ka moyo kalienda kasi kidogo nikasema liwalo na liwe tu ,,akaniambia hongera upo safi endelea kujilinda
View attachment 691046
Kipimo hicho ,,ila kupima ni kazi halaf unajua tiba hakuna mi nna muda miaka miwili sijapima kabisa,ndio leo nimepima nashangaa safari hii sijaogopa sana kiukweli mara zingine nilikua naogopa mpaka mkojo. unagonga chupi.sipimi tenaa ahahah
Nimepima nna safari zangu nikikamilisha tu nasepa,sitaki nianze hofu ya kuanza kuogopa majibu huko
Wasalaam
Mbona sjakuona eneo la tukio ?Twende leo