Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Vice versa is true.Round ya kiuno ni nusu ya round ya shingo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vice versa is true.Round ya kiuno ni nusu ya round ya shingo
Vice versa is true. Round ya shingo ni nusu ya round ya kiuno.Round ya kiuno ni nusu ya round ya shingo
hii mpyaaa😀Ni vipimo sahihi kabsaaa,,, hata kipimo Cha kiatu sio lazima kuvaa kiatu unaweza pima Kwa kulaza kiatu kwenye mkono yaan pingili inayoshikilia kiwiko chako unalaza kiatu usawa wa soli mwanzo na mwisho kuelekea kwenye kipeps [emoji23]/ sijui mnaitaje ,,pia kupima UREFU wako ukitanua mikono yako ndio UREFU wako,, kama unapinga fanya majaribio
Yap nIlipaswa kusema kiuno ni mara mbili ya shingo!!Vice versa is true.
😃😃😃, yani kila mda ni kuhema tu kama ling'ombe limeshiba mahindi.[emoji23]tumbo linawahi kula,, mara nyingi wenye marumbo ya hivyo huwa wananyambia tumbon
nimejaribu kiatu ni kweli kabisaaa na ya shingo naunga mkono hojaNi vipimo sahihi kabsaaa,,, hata kipimo Cha kiatu sio lazima kuvaa kiatu unaweza pima Kwa kulaza kiatu kwenye mkono yaan pingili inayoshikilia kiwiko chako unalaza kiatu usawa wa soli mwanzo na mwisho kuelekea kwenye kipeps [emoji23]/ sijui mnaitaje ,,pia kupima UREFU wako ukitanua mikono yako ndio UREFU wako,, kama unapinga fanya majaribio
Haina kabaya mzee baba...!We usimame kwenye chorus halafu verse niachie mimi
ExactlyYap nIlipaswa kusema kiuno ni mara mbili ya shingo!!
Oi, mi nafkiri TITTLE of the song iwe TUPO HIVYO. Watuache Tulivyo...!We usimame kwenye chorus halafu verse niachie mimi
Mbona umetoa kicheko tena baada ya kukupa tittle mzee...?We usimame kwenye chorus halafu verse niachie mimi