Kupima saizi ya kiuno kwa shingo

Kupima saizi ya kiuno kwa shingo

Ni vipimo sahihi kabsaaa,,, hata kipimo Cha kiatu sio lazima kuvaa kiatu unaweza pima Kwa kulaza kiatu kwenye mkono yaan pingili inayoshikilia kiwiko chako unalaza kiatu usawa wa soli mwanzo na mwisho kuelekea kwenye kipeps [emoji23]/ sijui mnaitaje ,,pia kupima UREFU wako ukitanua mikono yako ndio UREFU wako,, kama unapinga fanya majaribio
hii mpyaaa😀
 
nimejaribu kiatu ni kweli kabisaaa na ya shingo naunga mkono hoja
 
Kwangu inafanya kazi.
It mean Shingo zangu mbili ama nne ni sawa na Kiuno changu.
 
Back
Top Bottom