Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Zipo nchi nyingi zilizopata chanzo kidogo mfano ufaransa ilishawai kupindiliwa kwa mkate tu.
Tuje tunisia hapa kulifikia shida zote zao mpaka kunuka shida huku watawala wakila keki ya nchi.
Ilitokea kijana mmoja baada kumaliza chuo kwa tabu na kukosa ajira ikabidi kujiajili mwenyewe kuuza machinga.
Bado sheria kandamizi zikiwa zinaongezeka na uonevu kijana alikamatwa na migambo na kuchukuliwa kila kitu chake.
Kijana akafikia kwenda katikati ya mkusanyiko wa watu na kujipiga moto.
Hapo ndio mapinduzi yalianza.
Hapa tanzania swala la October 29 ilikuwa kufungua macho steji ya watu kuchoka.
Hata syria ilichukua mda akizani anazibiti kuleta amani kumbe anajiondoa bila kujua.
Hipo siku kuna chanzo kina weza kutokea ambacho ndio kitamaliza kila kitu.