Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
- #81
Mkuu Mzee Mwanakijiji Thanx for a Qulity Sound! Tunasubiri hayo mahojiano. Big Up
Bila ya shaka; huwa inachosha kusoma quotes tu toka kwenye magazeti..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mzee Mwanakijiji Thanx for a Qulity Sound! Tunasubiri hayo mahojiano. Big Up
Mbona naona interview ni fupi sana au ndio ilivyokuwa.Isijekuwa ni mimi ndo nimepata nusu maelezo ya muheshimiwa sana Marmo
Kitu chenyewe kikwapi?
wabongo bwana!!! umeshaambiwa hiyo ni Promo yaani ni manyunyu ya habari akimaanisha mvua ya habari yenyewe italetwa hapo baadaye bado munauliza habari iko wapi??? endelea kufuatilia habari itabandikwa wapi, bila shaka kule kwa Mwanakijiji.comWajameni me mbona nasikia ala za muziki na maneno machache inakuwaje? Au ni changa la macho?
Watu wanasema wanasubiria kwa hamu hiyo interview. Seriously? Wadanganyika hamweshi kunishangaza.
unafanya nini huku nenda jukwaa la jokes
Naelewa kuwa huelewi magnitude ya hoja yangu. Lakini kalaghabaho, ndo maana JK was right aliposema asilimia 75 ya waTz ni wafuata upepo. Hawana capacity ya ku-analyse issues ktk right perspective.