Kupinga wagombea huru, ni uamuzi wa "Kipumbavu"

Kupinga wagombea huru, ni uamuzi wa "Kipumbavu"

Mbona naona interview ni fupi sana au ndio ilivyokuwa.Isijekuwa ni mimi ndo nimepata nusu maelezo ya muheshimiwa sana Marmo
 
Mbona naona interview ni fupi sana au ndio ilivyokuwa.Isijekuwa ni mimi ndo nimepata nusu maelezo ya muheshimiwa sana Marmo

Mkuu Nadhani huo ulikuwa Muhtasari wa habari ukisikiliza Vizuri
 
Wajameni me mbona nasikia ala za muziki na maneno machache inakuwaje? Au ni changa la macho?
 
Wajameni me mbona nasikia ala za muziki na maneno machache inakuwaje? Au ni changa la macho?
wabongo bwana!!! umeshaambiwa hiyo ni Promo yaani ni manyunyu ya habari akimaanisha mvua ya habari yenyewe italetwa hapo baadaye bado munauliza habari iko wapi??? endelea kufuatilia habari itabandikwa wapi, bila shaka kule kwa Mwanakijiji.com
 
Asante Mzee Mwanakijiji, tunasubiri kwa hamu, haswa kwa matumaini hayo mahojiano yatajibu maswali ya ile thread ya nani atamfunga mdomo Marmo.
 
Tarehe 03/03/2010 ndio imefika Mwanakijiji, leta mambo hapa, please!
 
Sibanduki hapa, maana nataka nijue hatima yangu ya kugombea udiwani kibinafsi.
 
mda please, ni saa ngapi?

unamuhoji
 
Watu wanasema wanasubiria kwa hamu hiyo interview. Seriously? Wadanganyika hamweshi kunishangaza.
 
ni saa 08:10 sasa

saa ngapi mahojiano yanaanza
 
unafanya nini huku nenda jukwaa la jokes

Naelewa kuwa huelewi magnitude ya hoja yangu. Lakini kalaghabaho, ndo maana JK was right aliposema asilimia 75 ya waTz ni wafuata upepo. Hawana capacity ya ku-analyse issues ktk right perspective.
 
Naelewa kuwa huelewi magnitude ya hoja yangu. Lakini kalaghabaho, ndo maana JK was right aliposema asilimia 75 ya waTz ni wafuata upepo. Hawana capacity ya ku-analyse issues ktk right perspective.

unaona usivyo makini alisema 70% , wewe umo humo!
 
Back
Top Bottom