Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 87
Wanajua kabisa kuwa Mwaka huu itashindikana na mambo haya huwa wanayaleta kila baada ya muda wa uchaguzi uanze, Babu la msingi hapa ni kuandika katiba upya na kuruhusu mgombea binafsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NI muhimu kujua kuwa Marmo anatetea serikali na msimamo wa serikali; amejaribu kufunua fikra zilizoko nyuma ya uamuzi wao ambazo naweza kusema ni "delay tactics".
a. Wanaweza wakaamua kuahirisha uchaguzi (ili watawale kwa siku kadhaa zaidi)
b. Wanaweza kuweka masharti magumu kweli kwa wagombea binafsi ili kufanya uwepo wao kuwa mgumu kweli.[/QUOTE
Ni kweli kabisa.Na katika A wanaweza kuahirisha uchaguzi ili wajipange vizuri na kuwaumiza upinzani kwani watakuwa wamejiandaa kulinagana na ratiba iliyopo sasa.
Good Job MMJJ,
Bahati mbaya majibu ya waziri yanasikitisha na inaonekana wazi kuwa ilikuwa ni vigumu kumshurutisha/ kum-bana kutoa majibu ya uhakika kwa vile alikuwa na uwezo wa kukata simu wakati wowote na ukawa ndio mwisho wa maongezi. Nilichoelewa toka kwake ni kuwa;
- Serikali ya JK hawayathamini, hawayaogopi na wala hawayaheshimu maamuzi ya Mahakama
Watafanya uchaguzi kwa jinsi wanavyotaka wao
Marmo ana kiburi na pengine dharau. Majibu mengi aliyotoa ni ya dharau kama vile MMJJ/wasikilizaji wake hawana uwezo wa kumfanya lolote kwa atakayosema.
Serikali ya JK inaelekea hawajui nini cha kufanya juu ya hili jambo japokuwa wao wenyewe hawalitaki. Inaonekana wazi kuwa wakishikinizwa na waTZ, wafadhili n.k., wanaweza wakaruhusu kwa shingo upande, lakini late in the game.
sawa huo uchaguzi na upelekwe mbele, lakini mahamuzi ya mahakama ni lazima yafuatwe, mtu anapohukumiwa kifungu,hawezi amua ni lini ataanza tumikia hicho kifungo.
serikali inaoonekana inaweza kufanya hivyo.. kumbuka katika kukata rufaa kwao hawakutaka mahakama ya rufaa isitishe utekelezaji wa hukumu ile ya awali; ndio maana jaji mkuu aliwaambia hukumu ya awali bado inasimama.
.serikali inaoonekana inaweza kufanya hivyo.. kumbuka katika kukata rufaa kwao hawakutaka mahakama ya rufaa isitishe utekelezaji wa hukumu ile ya awali; ndio maana jaji mkuu aliwaambia hukumu ya awali bado inasimama.
Nafikiri you are right kuwa sirikali ya JK wangependa kikombe hiki kiwapite maana kwao ni sumu.Nafikiri wanajua lakini hawako tayari kuface reality.. wangependa kweli wagombea binafsi wasije chini ya ngwe hii ya pili ya JK kwani inamtishia JK zaidi.
Tatizo ni kuwa it is very unlikely kuwa waTZ watakuwa organised kulipinga hili suala na ku-draw attention ya international community kabla ya uchaguzi.
Nafikiri you are right kuwa sirikali ya JK wangependa kikombe hiki kiwapite maana kwao ni sumu.
But I could as well feel some fear from them. Inaelekea hawataki liwe jambo kubwa kabla ya uchaguzi ili wenye nguvu (wafadhili) wasije wakawapa summons wajieleze. JK anaogopa sana kufananishwa na akina M7, Mugabe n.k. katika kuibinya demokrasia. Sura ya matendo ya serikali yake ni muhimu sana kwa u-vasco dagama wake.
Tatizo ni kuwa it is very unlikely kuwa waTZ watakuwa organised kulipinga hili suala na ku-draw attention ya international community kabla ya uchaguzi.