Ukitaka ukweli wa Mungu, mwasisi wa figisu za kupita bila kupingwa kwenye uteuzi ndani ya chama alikuwa Mwl. Nyerere. Alijifanyia hivyo yeye mwenyewe kwa miaka yake yote 23 ya kutawala na alimfanyia hivyo Mzee Ali Hassan Mwinyi. Tofauti ya Mwl Nyerere na Hawa wa Sasa ni kwamba, Mwl hakuwahi kushawishi ndugu yake apite bila kupingwa kwenye ubunge.Pambaneni na hali zenu mkiambiwa NRNE mnaikataa Sasa mchawi kabaki kwenu.
Alafu kutwa kuwananga vijana eti mjiajiriPia ni AIBU kwa First Lady kugombea Ubunge badala ya kuwa na NGO ya kutoa ushauri au misaada kwa kijamii
Unajua tuache wivu usiokuwa na maana yoyote ile,muhimu hilo jimbo kuna vyama vya upinzani wakapambane wachukue jimboKuna mtu hawazi Wala kufikiria watu watasema nini mtoto na mwanawe kupita bila kupingwa katikati ya watanzania 65,000,000.
Hata kama unasema hujui lakini hii inaweza kukulazimisha kujua.
Baada ya baba wa taifa kufa, nani amebakia kutuambia acheni kufanya hivi?
NRNE imefanikiwa 100%, maana Lengo muwaachie ccm wajichague bila upinzani na wameshajichagua. Nyie subirini mgao toka kwa Abdul.Pambaneni na hali zenu mkiambiwa NRNE mnaikataa Sasa mchawi kabaki kwenu.
Hata wanaCCM wanaotaka maisha (ubunge) wa jimbo ni wengi, wanafamilia wote kupita bila kupingwa haitokei kwa bahati mbaya tu. Hii inachafua murua kabisakabisa. Heri wangewaacha na watu wengine wajitokeze na kupitishwa halafu waende kushindwa kiaina huko mbele ya safari.Unajua tuache wivu usiokuwa na maana yoyote ile,muhimu hilo jimbo kuna vyama vya upinzani wakapambane wachukue jimbo