Kupitia andiko hili hebu tuelimishane na kukumbushana misemo, nahau na maneno mbali mbali

Kupitia andiko hili hebu tuelimishane na kukumbushana misemo, nahau na maneno mbali mbali

mtozatozo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2021
Posts
459
Reaction score
415
Tangu tunazaliwa, makuzi yetu, shuleni, hadi utu uzima, lazima Kuna neno au msemo bado hujapata mantik yake Hadi leo, kupitia andiko hili hebu tuelimishane na kukumbushana midemo, nahau na maneno mbali mbali.

Mimi binafsi Kuna maneno na misemo ambayo Hadi leo bado yananiumiza fuvu HAWALA YA FEDHA....TIME IS MAKANGABILITE. HUDHURUNGI. SAMAWATI, nk

Nina imani pia Kuna watu wengine Kuna maneno na misemo bado hawajapata maana au mantiki yake Hadi leo

Tupeane madini!
 
Hewala ya fedha hii ilikua ni riwaya nafikiri hivyo ili upate wazo zima angalau ungeisoma riwaya husika. Labda kama unataka neno moja moja
 
Back
Top Bottom