Jk mwana kikapu mamaHao wote cha mtoto kwa Jakaya Kikwete.
ukimweka scholes utaharibu uzi ....scholes ni mtu mwingine kidogo kwenye soka ..Pirlo mkuu huyu mzee ni hatari tupu.mbona scholes hayupo hapo sasa
Jk mwana kikapu mama
Mambo mazuri mengi alifanya hata hamasa ilipanda sana kwenye soccer sema hakuwa na watu serious kuanzia wizarani,bmt mpaka tff alikuwa na passion ya kuinua soccer kaenda mwenyewe mpaka sunderland kuwashawish wajenge academy tz,katutangaza mpaka kwenye major ligi pale marekani lakini doohh hatukuwaza vyema na sasa ndo kabisa vingi alivyovianzisha nadhani kinauwawa kimojakimoja bado hatuko serious na matatizo yetu kama nchiUsisikie, Jakaya Kikwete pekee ndiye alituletea kocha kama rais na programs kibao zikaanzishwa na mpira wa Tanzania ukawa unapanda.
Tunashukuru hajawasahau wajukuu zetu kwa kuwawekea viwanja vya kisasa vya mazoezi pale kidongo chekundu.
I wish ile ingefanywa kila kata.
Enzi za gaucho Messi alikuwa akipiga bench, ubora wa Messi umekuja baada ya Xavi kuwa kwenye ubora wake
Juan Requelme! Na Xavi!
Mkuu GENTAMYCINE unahesabu lakini?
Heshima kwako bwana Luq12... kwaiyo bila xavi messi asingeonekana? Au nimekusoma vibaya?
Scholes tena?? Nadhani hapa wanalinganishwa majabali ya soka duniani, sio wanasoka majabali wa Man United.Pirlo mkuu huyu mzee ni hatari tupu.mbona scholes hayupo hapo sasa
Siku zingne badili kidogo sema Messi aliwafanya wajulikane zaidi na watumie vipaji vyao kwa hakiKila mchezaji na wakati wake Deco alikuwa bora kwa kipindi chake hasa akiwa barca, pirlo vilevile akiwa juve, Xavi vilevile na huyu na mwenzie ndo walipelekea Messi kuwa bora
Siku zingne badili kidogo sema Messi aliwafanya wajulikane zaidi na watumie vipaji vyao kwa haki
Unapokuwa midfielder na ukawa na MTU ambaye unamwamini 100% ukipeleka mipira anaipokea na kufanya kinachotakiwa basi maisha ya soka kama Middle yanakuwa ya raha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Messi ni wakipekee kwa sasa Barca Xavi hayupo vipi Messi kapungua kiwango? Hahahahaha kiwango kimepanda Mara dufu
Ineista ndo huyoo majeruhi kila kukicha vipi ubora wa Messi umepungua ? Jibu no bado ni Messi yuleyule
Kwa sasa Messi ubora wake ni mara dufu kwa sababu kabeba majukumu ya watu muhimu ambao hawapo barca tena Xavi na Ineista kwa pamoja anayafanya Messi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]